CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,951
- 9,509
Mara nyingi sana mtu akitaka kulima hasa mboga atatafuta shamba pembeni ya mto wenye maji ili aweze kulima mboga au matunda au hata mazao mengine.
Kwa hali ya sasa huu utaratibu ni hatari sana na inaweza kula kwako ay nay time.
Ule ukame wa Mwaka huu kuna sehemu watu walikuwa wanategemea maji ya mto na walijuwa wamelima vitunguu sana na baada ya ukame Uongozi yaani Serikali walikata maji na kilicho tokea ni hasara isiyo elezeka.
Kama unamashamba yako na hayana maji basi jenga visima vya mabwawa kwa kuweka Nyloni na utavuna maji wakati wa masika na unaweza yatumia mwaka mzima.