Nauza vifaa vya saluni ya kiume kwa bei nafuu

Nauza vifaa vya saluni ya kiume kwa bei nafuu

kilanio

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
221
Reaction score
69
Habari wadau ,

Nimefunga salun yangu ambayo nimeiendesha kwa mda wa mwezi mmoja tu.

Sabab ya kuuza,ninahamia mkoani kikaz,
a9a379bd9cf7aab0f0275b7b57d814ed.jpg


Kioo cha mbele kikubwa futi 5*6 80,000/=(aluminium)
Kioo cha nyuma kidogo 4*3 70,000/=
Shelf ta kukwekea machine 20,000
Machine original ya homec
04cae6d7fe59bd5a8af4d7668a8291c4.jpg
ut 60,000/=
Viti viwili @ 50,000/=
5c658f94c6ede799a74951062593d98d.jpg
af918b50c50d2fd1638cf224d42ff2be.jpg
5ea5997e476a11e3b2e0475c5509d4b7.jpg


Vifaaa viko kitunda Dsm kwa mawasiliano 0627288599



Pia kwa atakaehitaji kwa vyote atalipia Tsh 300,000/= tu Wakuu
 
Wadau vifaaa bado vipo kariibuni maana watu wengi wameweka ahadi tu na hawajatimiza Ahad zao,kariibun sana Wakuu
 
Ahsanteni Wana Jf,Vifaa vyote, vimeshauzwa leo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom