Nissan hardbody for sale t 321 aje

Nissan hardbody for sale t 321 aje

bazoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
300
Reaction score
141
Price 17 Million

Contact 0622-021490

Haina tatizo lolote ni kuwasha na kuondoka.
cedd48b77304d13b6308484930adea26.jpg
0111b8ccf95553a79a5058c4058f5b64.jpg
 
mkuu mimi nina 12 ukifika hapo nistue
 
Haina tatizo lolote... Nilisahau kuwa uzee si tatizo bali ni uzoefu.
 
Hata mimi nipo serious mkuu leta 14 nikuletee kesho tumalize kazi kwa wakili gharama za kuandika mkataba juu yangu chief
 
Poa mkuu pamoja sana tuwasiliane tu ukirudi utaiona location salasala
Chukua hiyo 12. Sasa hivi magari ni mengi na pesa ni shida kupatikana so wateja haba.. Kuna kipindi nilikuwa nauza Kirikuu kwa M6.5 mteja akaja na m6.0 nikamkatalia.. Miezi miwili baadaye nilikuja kuiuza kwa M2.8 baada ya kunock injin na kuikarabati bila mafanikio.
 
Mkuu niko serious nitafute kwa 12 hata kesho njoo
Mkuu, msikilizie jamaa akifika bei chukua hiyo gari alafu ipeleke kwa mchina akupigie rangi nyeusi.. Ikitoka hapo, gari itakuwa mpya... Hardy body ni gari nzuri.. Nimeendesha kwa miaka minne.. Zaidi ya tatizo la kufa kwa betri sijawahi pata shida yeyote na Hardybody... Kwanza kwenye matope haikwami ukiwa na tairi za kashata.. Ina 4wd pamoja na difflock.
 
Mkuu tatizo ni bei yake mkuu ,ila kuna moja iko Arusha naenda huko jmosi nikishindwa na kama jamaa atakubali nitaichukua.Afu sasa ivi ziko watu wanazisukuma hivyo naangalia then namake decision based on fedha nilizo nazo mkuu.Hii biashara ya kununua then unakuwa wewe ni wa kwenda gereji siitaki boss
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom