Kama kichwa cha habar kinavyojieleza,mm in mkaz was morogoro mjini ,natafuta eneo LA kuishi liwe na ukubwa was heka 3/mwenye nalo ani pm Liwe ndani ya Manispaa ya morogoro,nafikiria kufuga pia ktk...
Viwanja vinauzwa Dar es salaam. kiwanja kiko Kibaha picha ya ndege. kuna maji na umeme. kina ukubwa wa Acre moja. kingine kiko Chanika Acre moja na robo. Bei maelewano kwa mawasiliano tafadhali...
Nahitaji laptop kwa ajili ya matumizi ya chuo Kwanza iwe inatumia Window,Size iwe na GB 250 betri nzuri hata uwezo wa kukaa na chaji masaa sita,RAM angalau GB 4,CPU iwe Pentium Intel, keyboard...
Dressing table table hii hapa chini inauzwa bei poa kabisa. Ni used ila inauzwa kwa sababu tu binafsi.
Bei take ni 200,000 ila punguzo lipo tu. Napatikana Temeke Dar es salaam.
Ukihitaji...
Get house map with it's model designe , remember we build house in low coast and we provide a special knowledge obout house building. contact: 0763269695
Bei Million 21 kwa kila HEKA MOJA ,
zipo katika Town plan,
Nauli ni 500 tu kutoka bunju hadi mapinga...
Zimepimwa na zina offer,
Ni meter 300 adi 500m kutoka barabarani.
Zipo upande wa...
Iko nyuma ya mwananyamala hospital,eneo tulivu ulinzi wa kutosha ina room moja,sitting room,jiko,choo na bafu iko ndani!luku ya kujitegemea,maji Yapo ya kumwaga kodi inalipa miezi sita ambayo kwa...
Wadau wa ujenzi, natafuta kiwanja kinachouzwa na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni maeneo ya mabwepande kama kuna mtu anahafahamu anishtue nahitaji low density area.
hebu tuwasiliane hapa kwa ajili ya line za tigo pesa. bei ni ndogo tu Tsh 350,000/= kwa mawasiliano zaidi piga number uwasiliane na huyu jamaa 0684160222.
Over 25 years of experience. It is all about corrosion protection of buried and underwater steel pipelines, buried and above ground storage tanks,piles and other offshore structures.Our services...
Nianze moja kwa moja.
Nipo katika mpango wa kufungua maduka makubwa la kuuza vyakula vya kuku huku mkoani mwanza.
Ofisi zangu zipo tayari kwa sasa natafuta sehemu ambayo naweza kupata mzigo wa...
Nauza kiwanja changu babati kina ukubwa wa Sqmeter 886 viwanja serikali viligawa kwa awamu tatu na vina certified title deed kutoka serikalini. Ipo barabara ya kuelekea arusha na it's only 3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.