Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wakuu, nauza kapeti la kukata kubwa lenye ranging ya maroon Bado Jipya na limeshafuliwa Ukubwa wake ni miguu 12kwa16 Nakupa na dogo kenye miguu 5kwa12 Lipo tegeta 140000 0712623938
0 Reactions
1 Replies
2K Views
USIYOYAJUA KUHUSU C9 PROGRAM...[emoji15][emoji15][emoji15] SOMA HAYO MAELEZO[emoji123][emoji123] C9 programme ni programme maalum inayokuwezesha kusafisha mwili wako kwa kuondoa sumu mwiluni na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za asubuhi, Eneo Heka 2 linauzwa, imejengwa nyumba ambayo yenye vyumba viwili vya kulala na sebule pamoja na bafu ndani (haijaezekwa). Mahali: Kikongo - km 9 kutoka Mlandizi stand ukiwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Karibu sana, RAHAS Digital Solutions, tunatengeneza websites kwa gharama nafuu kuanzia 150,000/=. Unapata website pamoja na offer ya bure ya:- 1. Logo 2. Domain 3. Hosting Kazi zote zinafanywa na...
0 Reactions
0 Replies
704 Views
Habari wadau. Nauza mashine yangu ya kuprint tshirt mpya kabisa kwenye box lake.. Nilinunua mwanzoni mwa mwaka huu kwa ajili ya kuanzisha biashara ya kuprint tshirt... Sababu ya kuuza ni...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Habari za mda huu wadau?. Ninahitaji mbegu ya kuku KUROILER kutoka kwa mfugaji aliepo MWANZA.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau na pole na kazi. Kuna calculator fulani zenyewe huwa zinaongea kwa kila kitufe unachobonyeza ili kumsaidia mtu mwenye uono hafifu au asiyeona kabisa kujua anachofanya. Kwa yeyote...
0 Reactions
2 Replies
714 Views
Wakuu habarini za jioni? Mimi ni muhitimu (bachelor in taxation) na nina uzoefu sana na sheria za kodi kwani mbali na kuzisoma kinagaubaga darasani kwa miaka mitatu pia nimefanya kazi na TRA hivo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wadau, Naomba kwa atakaeguswa anisaidie kunirushia project proposal inisaidie kuandikia miradi ya CBO yetu, tumepata mtu wa kutuunganishia kwa mfadhili lakini tunakosa mradi wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa Natafuta chumba cha kupanga, maeneo ya Kimara, Buguruni, Magomeni au eneo lolote lisilo na Foleni ya Kwenda Muhimbili National Hospital(gari moja) Kiwe kizuri, ikiwezekana na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani naomba ushauri, kwa mwenye uelewa wa title hapo juu, ili niwe na uhakika wa kuapply mwakani.
0 Reactions
1 Replies
744 Views
Toshiba satellite 2gb RAM HDD 500 dual core 2.3GHTz ipo kwenye hali nzuri bei ni Tsh.350000 anaye hitaji ani pm.
0 Reactions
1 Replies
843 Views
Eternal International wana kifaa ambacho kitayafanya maji yako kuwa salama na safi kwa kunywa. ENERGY CUP ni kifaa ambacho kinabalance Ph ya maji na kuyachuja na kuyafanya kuwa salama na safi kwa...
0 Reactions
1 Replies
688 Views
Habari zenu umundani,tunauza Viwanja maeneo ya Mbagala dar es salaam Kata ya chamazi,mbande mipeko kwa Shilingi milioni mbili na nusu(2.5) tu. Na kwa hekari moja ni Shilingi milioni18 tu. Unaweza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Bidhaa mpya Six pack care Mashine ambayo ni mult functional utafanya mazoezi ya mwili mzima kupitia kifaa hiki ukiwa nyumbani Kwasasa vipo kwenye promotion kutoka 350,000 mpaka 300,000 Wasiliana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu,ninauza simu yangu haina tatizo lolote nimekwama tu baadhi ya mambo ndiyo nataka niuze. Ipo katika hali nzuri Bei; Laki tatu (300,000) Mawasiliano ; 0624-052791 Nilipo ; Dar
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu,husika na kichwa cha habari hapo juu,Tunauza mifumo mbalimbali ya kiteknolojia(Software)inayotumia computer inayoweza kukusaidia kuhifadhi Taarifa za mauzo na usimamizi wa biashara...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu Kutakuwa na shindano la fifa 17 kwenye ps3 na ps4 siku ya jumamosi Oct 28,2017 pale NEW MSASANI CLUB, Shindano litaanzia kwenye hatua ya makundi na kisha mtoano, shindano litaanza saa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom