Vipi umepata na majibu ya swala lake?Ulipata hivyo
We mtu hulali....Vipi umepata na majibu ya swala lake?
Nilishazoe kuweka miguu kwenye ndoo ya maji ya baridi usiku,nikikesha kusoma....japo niliibuka na division fiveWe mtu hulali....
Haha pole sana.... Mie ni standard 4Nilishazoe kuweka miguu kwenye ndoo ya maji ya baridi usiku,nikikesha kusoma....japo niliibuka na division five
Heri yako hukupoteza muda wako,eti unasoma....mwenzio miaka yangu ililiwa na nzige for nothingHaha pole sana.... Mie ni standard 4
Hapana Bora yako una leaving certificateHeri yako hukupoteza muda wako,eti unasoma....mwenzio miaka yangu ililiwa na nzige for nothing
Leaving niliyonayo haiwezi hata kunisaidia kumpa majibu mtoa mada.... Nimepitwa mengi na wenzangu ambao hawakupoteza muda wao kwenda sekondariHapana Bora yako una leaving certificate
Komaa... Ila kama Nakuona wakusoma ... Upo chuo sioLeaving niliyonayo haiwezi hata kunisaidia kumpa majibu mtoa mada.... Nimepitwa mengi na wenzangu ambao hawakupoteza muda wao kwenda sekondari
Chuo gani watanipokea na hii dvn 5 yangu? Niko zangu mtaani natamba na njiaKomaa... Ila kama Nakuona wakusoma ... Upo chuo sio
Wewe muongo...Chuo gani watanipokea na hii dvn 5 yangu? Niko zangu mtaani natamba na njia
kwanini mkuu?Wewe muongo...
Una soma wewe
Kukesha. ..Bado hujaripoti chuo... Ukiendelea kunidanganya. .kesho nakuanikakwanini mkuu?
Mwanafunzi gani nikeshe jf?
Kesho ishaanza! Nianike tu hata kwenye mbalamwezi maana nasikia baridiKukesha. ..Bado hujaripoti chuo... Ukiendelea kunidanganya. .kesho nakuanika
Sawa wakusoma mtafutajiKesho ishaanza! Nianike tu hata kwenye mbalamwezi maana nasikia baridi