Mashine ya kutotoreshea vifaranga

Mashine ya kutotoreshea vifaranga

SongelaeliPY

Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
6
Reaction score
1
Mi mkazi wa dodoma,,kuna mashine za kienyeji zimegundulika kwa ajili ya kutotoreshea vifaranga zinapatikana kwa urahisi sana na zinatotoa kwa kiwango kikubwa sana,,
1983b3f4a88b1a2223114308f471e3dd.jpg

Kama kuna mtu anahitajibmaelezo zaidi anicheki kwa 0765144741
 
Bila picha na bei huo utakuwa utapeli tu
Mwadela bhabha msukuma unazingua,,sio kila mtu mtapeli
Picha ya mashine ni hii hapa
6fea79a555073ce3b200731c597beed9.jpg
ni rahisi sana kutumia nicheki kwa hiyo namba kwa ushauri na elim kwa ujumla hata kama hutashawishika kuipata
 
Sio lazma ununue sisi kama wanajamii tunajuzana tunaelimishana kama hitojal nichek tubadilishane mawazo,,mpaka sasa nimeona matunda yake
646cd51c9072be8b5cb388e2cb0a09db.jpg
hao nimewapata kupitia mashine hyo

Mkuu katika 150 inaweza kuzalisha kiasi gani ?
Je ni automatic au mayai unageuza kwa mkono?
 
Katika 150 kama ukifuata maelekezo vizuri unazalisha sio chini ya 130
 
Na mayai unageuza kwa mkono kila baada ya masaa nane means kwa siku unageuza mara tatu
 
Back
Top Bottom