Jinsi ya kupata mafanikio kupitia blogging

Mb-one

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
882
1,282
Je, unajua hapa tanzania kuna blog zaidi ya 5000 na tovuti yaani websites nyingi
Tanzania kwa sasa inakuwa kwa kasi kwenye masuala ya mtandao kulingana na ukuaji wa uchumi,biashara na viwanda

Kuna faida nyingi mno za kuanzisha blog kama chanzo cha kipato..blog inaweza kuanzishwa na mtu yeyote lakini je ni jinsi gani ya kuindeleza ili iweze kukunufaisha?.

Watu wengi kote duniani wameanzisha blogu ila wengi wameshindwa kufanikiwa katika kuindeleza..blog au website yeyote ile inahitaji werevu wa kutosha katika kuifanya iweze kudumu..kulingana na utaalamu wetu kuna vipengele vitatu muhimu unavyotkiwa kuvijua ili uweze kunufaika na blog yako

1.MUONEKANO WA BLOG YAKO
hiki ni kitu muhimu sana kwenye blog..muonekano.Wafuatiliaji wengi wa blog yaani visitors wanapenda kuona blog yenye muonekano mzuri wa kuvutia wenye mpangilio maridadi isiyomchosha mfuatiliaji.ila wengi wameshindwa kwa hili kwa sababu ya kukosa utaalamu..

2.TAARIFA YA KUANDIKA (BLOG CONTENTS)
blogs nyingi hapa nchini Tanzania wamekuwa wakifanya mchezo wa kuibiana taarifa maarufu kama copy and paste..ila bila kutambua kuwa kuna taarifa nyingi sana zinazoendelea duniani kote..kila siku kuna taarifa lukuki mpya..

Blog yetu ya kwanza kutengeneza inayoitwa walimwengu imefanikiwa ndani ya mwezi 1 kuwa website ya 130 nchini tanzania kutokana na kuwa na blog contents nzuri za kuelimisha ,kufurahisha na kusisimua..Tz blog design tutakupa ushauri ni jinsi gani ya kuandika contents zitakazowavutia watu wengi na kuongeza wafuatiliaji yaani visitors

3. KUTANGAZA BLOG YAKO
ili uweze kuongeza wafuatiliaji kwenye blog yako.Kuna njia nyingi za kuweza kufanya blog yako ikue na kupata watu wengi.Muhimu ni kufanya ijulikane kwenye mitandao ya kijamii kama vile facebook,twitter,google + na youtube.ila kuna mbinu za kuifanya ijulikane kwa uharaka..je unazijua?
TZ blog design itakusaidia kwa hilo

je unataka kuwa blog maarufu hapa nchini hebu ona hii blog website tuliyoitengeneza na kutoa ushauri ..inavyoweza kufanikiwa..kulingana na alexa rank;walimwengu Walimwengu.com Traffic, Demographics and Competitors - Alexa imeanzishwa mwezi mmoja sasa..je unataka ufanikiwe hivi .tupe nafasi tukusaidie

ABOUT US
TZ BLOG DESIGN Inc is the first leading TANZANIA blog designers specialized in advanced blog services including blog design, blog development as well as blog conslutation. We have a team of best blog designers and developers who work with our clients to help them achieve their goals whether it is generating more leads, increasing sales or just painting a better look and feel of their blog or website..
 
je unajua hapa tanzania kuna blog zaidi ya 5000 na tovuti yaani websites nyingi ..Tanzania kwa sasa inakuwa kwa kasi kwenye masuala ya mtandao.kulingana na ukuaji wa uchumi,biashara na viwanda
kuna faida nyingi mno za kuanzisha blog kama chanzo cha kipato..blog inaweza kuanzishwa na mtu yeyote lakini je ni jinsi gani ya kuindeleza ili iweze kukunufaisha?.watu wengi kote duniani wameanzisha blogu ila wengi wameshindwa kufanikiwa katika kuindeleza..blog au website yeyote ile inahitaji werevu wa kutosha katika kuifanya iweze kudumu..kulingana na utaalamu wetu kuna vipengele vitatu muhimu unavyotkiwa kuvijua ili uweze kunufaika na blog yako
1.MUONEKANO WA BLOG YAKO
hiki ni kitu muhimu sana kwenye blog..muonekano.Wafuatiliaji wengi wa blog yaani visitors wanapenda kuona blog yenye muonekano mzuri wa kuvutia wenye mpangilio maridadi isiyomchosha mfuatiliaji.ila wengi wameshindwa kwa hili kwa sababu ya kukosa utaalamu..
2.TAARIFA YA KUANDIKA (BLOG CONTENTS)
blogs nyingi hapa nchini Tanzania wamekuwa wakifanya mchezo wa kuibiana taarifa maarufu kama copy and paste..ila bila kutambua kuwa kuna taarifa nyingi sana zinazoendelea duniani kote..kila siku kuna taarifa lukuki mpya..blog yetu ya kwanza kutengeneza inayoitwa walimwengu imefanikiwa ndani ya mwezi 1 kuwa website ya 130 nchini tanzania kutokana na kuwa na blog contents nzuri za kuelimisha ,kufurahisha na kusisimua..Tz blog design tutakupa ushauri ni jinsi gani ya kuandika contents zitakazowavutia watu wengi na kuongeza wafuatiliaji yaani visitors
3.KUTANGAZA BLOG YAKO
ili uweze kuongeza wafuatiliaji kwenye blog yako.Kuna njia nyingi za kuweza kufanya blog yako ikue na kupata watu wengi.Muhimu ni kufanya ijulikane kwenye mitandao ya kijamii kama vile facebook,twitter,google + na youtube.ila kuna mbinu za kuifanya ijulikane kwa uharaka..je unazijua?
TZ blog design itakusaidia kwa hilo

je unataka kuwa blog maarufu hapa nchini hebu ona hii blog website tuliyoitengeneza na kutoa ushauri ..inavyoweza kufanikiwa..kulingana na alexa rank;walimwengu Walimwengu.com Traffic, Demographics and Competitors - Alexa
imeanzishwa mwezi mmoja sasa..je unataka ufanikiwe hivi .tupe nafasi tukusaidie
ABOUT US
TZ BLOG DESIGN Inc is the first leading TANZANIA blog designers specialized in advanced blog services including blog design, blog development as well as blog conslutation. We have a team of best blog designers and developers who work with our clients to help them achieve their goals whether it is generating more leads, increasing sales or just painting a better look and feel of their blog or website..
CONTACT 0652206863
maelezo mengi lkn kiukweli nyinyi bado sana, blog yenu mpangilio bado wa kitambo mno na sijaona lolote la kuwatofautisha na blog nyingine nyingi tu zisizo na mvuto. Fanyeni kazi acheni maneno...
 
blog yangu ni mpya inawatembeleaji zaidi ya elfu 20 kwa siku je naweza kunufaika vip?
 
Naposti kwa kiswahili na kiingereza japo nyingi ni za kiswahili
Google AdSense huwa wanataka habari zilizo kwa kweli English lakini njia nyingine ni kutengenezea app hiyo blog halafu iunge na google admob hii haina longolongo vinginevyo propeller ads ndio mbadala nzuri tena kwa idadi hiyo ya watembeleaji unaweza faidika nayo
 
Hivi unajua audience kubwa utakayopata ni wanaotumia simu halafu blog,yako si rafiki kwa simu badili muonekano huo sio,mzuri
Wazo lako nimeweza lifanyia kazia naomba upitie tena kama kuna cha kubadilisha naomba usisite nieleza ndugu yangu
 
Google AdSense huwa wanataka habari zilizo kwa kweli English lakini njia nyingine ni kutengenezea app hiyo blog halafu iunge na google admob hii haina longolongo vinginevyo propeller ads ndio mbadala nzuri tena kwa idadi hiyo ya watembeleaji unaweza faidika nayo
Mimi naomba kuuliza hivi hamna njia ya kuingiza kipato kupitia blog zaidi ya Google adsence.
 
Back
Top Bottom