Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Jipatie dagaa wazuri wakukausha kutoka bukoba debe kumi kwa shilingi 280,000/= kwa mawasiliano zaidi 0752435243
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari ndugu, Ninatafuta kiwanja cha bei nafuu maeneo ya Tegeta, Boko , Salasala , mbweni au Makongo juu. Budget yangu ni chini ya Milioni 12. Mwenye nacho naomba ani PM. 1)Kiwanja kiwe kimepimwa...
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Shamba linauzwa Morogoro habari njema kwa wakazi wa Moro au hata Dar shamba kubwa sana linauzwa Morogoro. Limelimiwa mpunga mpaka sasa ni hekari 12 na bei yake ni rahisi M7. Morogoro Lupilo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wanao hitaji shamba maeneo ya Morogoro bado lipo na lipo karibu na chanzo cha maji cha mto Ngerengere napatikana kwa namba(0744990530 au 0676051093) Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za muda huu wanajamii. Naomba kufahamishwa ni wapi kwa Dar kuna vyumba vya kupanga ambavyo kodi ni 20elfu kwa mwezi,malipo ya miezi mitatu tu na unapanda gari moja hadi Ubungo ila isiwe...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Nauza pilipili nilizopanda shambani Bagamoyo kwa anayehitaji anitafute kwenye namba zifuatazo, kwa mawasiliano zaidi. 0766767539_voda 0677459677_tigo Tafadhali mfahamishe na mwezio Sent using...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nauza samsung LED TV ya 23 inch, series 4. Imetumika miaka 3, haina tatizo lolote. Sababu ya kuuza ni kwamba nimenunua kubwa zaidi. Bei tsh 270,000 inapoa kidogo. Aliye interested nicheck pm au...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau nina mahitaji na power tiller lakini sina uzoefu nazo kuhusu ubora, bei na zinapopatikana. Hata kama ni used lakini inafanya kazi vizuri nitafurahi kupata taarifa. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale wanaopenda kufanya biashara/Huduma za kifedha kupitia simu,basi hii ni nafasi kwao ya kujiongezea kipato.Laini za uwakala,M PESA,Tigo Pesa na Airtel Money zinauzwa.Zipo Arusha mjini.Kwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ndugu zangu naomba kujua sehemu gani Mbeya naweza pata kiwanja kwa Mil.1 au 2
0 Reactions
6 Replies
5K Views
kichwa cha habari chahusika,mbwa wenye umri wa week tano aina ya German Shephard wanauzwa,bei yake ni Tshs.200,000 kila mmoja,kwa wale mnaoishi na familia mnajua uchungu wa kuvamiwa na...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Nahitaji samsung note 4 au Samsung c5 used in good condition.... weka ofa yyko nikiridhika tufany biashara
1 Reactions
5 Replies
638 Views
Habarini,..Nahitaji mwalimu wa kunifundisha kupiga chombo chochote cha muziki kati ya hivi.,.Keyboard.,.Guitar or Drums.,.Niko Dar,.. Or kama kuna mtu yoyote ana studio and angependa kushare ujuzi...
1 Reactions
13 Replies
6K Views
Kimepimwa, hati miliki bado haijatoka, Bei 14 million. Kipo TEGETA DAWASCO BOKO. Mawasiliani 0672211602
0 Reactions
26 Replies
4K Views
HDD 500 RAM 4GB Vyuma vimebana naisukuma kwa bei nafuu tu shilingi 400,000/= kama unahitaji ni pm
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Salaam. Naomba mwenye kujua mahali walipo mafundi wa jiko la microwave Dar wanijuze. Asante.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna dalali yoyote wa nyumba maeneo ya posta au upanga daresalaam
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Hello JF, Kama heading inavyojieleza natoa huduma za kutengeneza blogu na website kwa bei nafuu kabisa ya kuanzia elfu 2O/= nichek WhatsApp O652 92O 596
0 Reactions
2 Replies
937 Views
Dagaa safi wakukausha toka bukoba debe kumi kwa shilingi 280,000 /=
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wasiliana na Mimi 0763347985/0673000103 Kwa hekar moja utahitaji roll tano na viunganishio vingine ambavyo ukijumuisha gharama zote , kwa hekari moja huweza kufikia 2.5mil Karibuni sana...
2 Reactions
13 Replies
7K Views
Back
Top Bottom