Nauza vifaa vya umwagiliaji


Lasway.Jr

Lasway.Jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Messages
208
Likes
334
Points
80
Age
26
Lasway.Jr

Lasway.Jr

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2015
208 334 80


Wasiliana na Mimi 0763347985/0673000103
Kwa hekar moja utahitaji roll tano na viunganishio vingine ambavyo ukijumuisha gharama zote , kwa hekari moja huweza kufikia 2.5mil
Karibuni sana, ukifanya kazi na sisi tunakupimia udongo buuuuure kabsaa, tupo Morogoro, DSM, arusha , popote tunafika pia
 
casanova69

casanova69

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2015
Messages
1,290
Likes
951
Points
280
casanova69

casanova69

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2015
1,290 951 280
lasway-jr kwa izo gharama ni zao gani na space ni ngapi na apo umejumlisha vifaa vingine zaidi ya hizo drip pipe?
 
Mandison

Mandison

Senior Member
Joined
Mar 10, 2017
Messages
137
Likes
74
Points
45
Mandison

Mandison

Senior Member
Joined Mar 10, 2017
137 74 45
Mnaanza kupima huo udongo kabla ya kununua vifaa vyenu au baada?
 
V

VeroEretico

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Messages
308
Likes
185
Points
60
V

VeroEretico

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2013
308 185 60


Wasiliana na Mimi 0763347985/0673000103
Kwa hekar moja utahitaji roll tano na viunganishio vingine ambavyo ukijumuisha gharama zote , kwa hekari moja huweza kufikia 2.5mil
Karibuni sana, ukifanya kazi na sisi tunakupimia udongo buuuuure kabsaa, tupo Morogoro, DSM, arusha , popote tunafika pia
Acre moja inachukua gharama kiasi gani
 
K

kacheto2015

Senior Member
Joined
Oct 25, 2015
Messages
121
Likes
158
Points
60
Age
48
K

kacheto2015

Senior Member
Joined Oct 25, 2015
121 158 60
Ofisi zenu ziko wapi hapa Dar?
 

Forum statistics

Threads 1,263,845
Members 486,093
Posts 30,165,908