Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari nauza simu elfu 50 Samsung GT S5301 nicheck PM au 0713667607
0 Reactions
6 Replies
917 Views
NAUZA NDOO NDOGO ZA KAWAIDA ZA LITA 10 TS ELF 3 ZIPO MIA ZILIKUWA NA BLUEBAND NI MPYA
0 Reactions
45 Replies
12K Views
Nauza Huawei y520 kwa bei poa ya Tsh90000 tu Nipo Babati, manyara kwa mawasiliano 0672231377
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa Offer ya 390000-400000
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni kijana ambae nina nia ya ya kua content creator wa habari mbalimbali mitandaoni ila nahitaji kufahamu bei za maiki kwa ajili ya camera ni shilingi ngapi???
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pata shamba lenye hekari 30 linauzwa mkuranga limepimwa lina minazi zaid ya 10 mananasi na mpunga matikiti na mazao na mikorosho zaid ya 20 lipo mkuranga bei ni poa kwa zaid tuwasiliane kwa simu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kampuni ya ck product ya dar_es-salaam tegeta tunapenda kuwafahimisha wale wote wa penzi wa pilipili kaliiii yaani hot chill na pilipili isiyowasha sana yaani mild chill ck tunasupply pilipili...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Tecno W4 C8 C9 J8 Sumsung yenye camera 8mp screen 4.7 or above nipo Iringa Offer yangu 100000
0 Reactions
3 Replies
909 Views
Natafuta fundi wa photocopy mashine aliye moshi / himo au rombo Nna Tatizo anisaidie ku solve
0 Reactions
0 Replies
536 Views
Habarini wadau ,naingiza games za ps2 kwenye flashdisc bei ya moja 1800 ukinunua 5, 2ztaongezwa kama offer kwa anayehitaji anichek kwa inbox
0 Reactions
5 Replies
806 Views
Jamani wanajukwaa naomba kuuliza napata wapi t-shirts plain !? Kama kuna mtu Ana contact na supplier au anasuply naomba tafadhali
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Natafuta chumba cha kupanga chenye choo na bafu yake (master bedroom)chenye bei nafuu maeneo ya kuanzia Pasiansi mpaka Nyegezi stand. Kwa yeyote mwenye kujua upatikanaji tafadhali...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Gongolamboto,ulongoni A,vyote laki na nusu 0713715772
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari zenu? Mimi nimfugaji wa kuku chotara lengo ilikua ni kwaajili ya biashara ya mayai lakini baada ya kuletewa vifaranga nikakuza na majogoo ambayo kwasasa nimeamua kuyauza. Wapi nnaweza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nyumba Inapangishwa Tangi Bovu (Mbezi beach) nyuma ya kanisa la KKT eneo la kwa Mboma. Ni vyumba viwili vya kulala ,Sebule, Jiko, Choo,dining na kibaraza cha mbele. Bei 200,000 kwa mwezi...
1 Reactions
1 Replies
806 Views
Msingi juu ya kiwanja unauzwa kiwanja kina Hati sq m645 karibu na Mt Evarist International School ni sehemu maridhawa waweza jenga gorofa moja piga 0654347423 haraka
0 Reactions
2 Replies
928 Views
Habari wakuu, nipo Dar nahitaji catrige ya printer 4250. Wapi naweza kupata?
0 Reactions
3 Replies
901 Views
Ndugu dalali husika na kichwa tajwa hapo juu Nakuomba uje PM au hapa hapa maana wenye uhitaji huenda tukawa wengi chumba kiwe karibu na chuo.
0 Reactions
1 Replies
805 Views
Nauza TV za kchogo nko arusha elf tisini na tano kuna punguzo la bei pia
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Wakuu , baada ya jana kuzunguka sana Maeneo ya Mawasiliano na Msewe na madalali wa kule nimekosaaa room. Kama kuna yoyote ambae anaishi maeneo hayo na yuko karibu kuachia room naomba tuchekiane...
0 Reactions
2 Replies
973 Views
Back
Top Bottom