Nauza Kiwanja Tegeta Boko, 20meter kwa 21 meter..Kimepimwa

mama la mama 2

Senior Member
Joined
Sep 7, 2017
Posts
198
Reaction score
98
Kimepimwa, hati miliki bado haijatoka,
Bei 14 million.
Kipo TEGETA DAWASCO BOKO.
Mawasiliani 0672211602
IMG-20170906-WA0007.jpg
 
Mama la mama 20 kwa 21, 14ml????[emoji22][emoji22][emoji22] na vyuma hivi mmmhhh....kaaa upo sawa 4,lakn maeneo ya boko dawasco ni bwawa kipindi cha mvua
 
Sasa ndugu kama kule ni bwawa, inakuwaje utake kupanunua kwa 4 ? Iyo NNE yako haina kazi au? KIFUPI KIWANJA CHANGU HAKIPO BWAWANI , NIMEKATAA M5, 6 ADI 8... KWA SABABU KIPO JUU... KIWANJA CHANGU KIPO CHASIMBA KULE JUU WALA SI BWAWA...
 
Sema unauza bwawa la maji kipindi cha mvua kubwa hasa masika. Boko kulia kabla ya DAWASCO mpaka maliasili au kanisani ni majanga
 
Kama ni chasimba uko poa sana....tutafutane tuongee
 
Sema unauza bwawa la maji kipindi cha mvua kubwa hasa masika. Boko kulia kabla ya DAWASCO mpaka maliasili au kanisani ni majanga
Ndugu mm nipo cha simba ..juu mlimani karibu na wazo hill kiwanda cha cement...unashuka dawasco unapandisha juu kuelekea wazo.....na mvua ndo hizi tembea upaone ndo uongee...ATA UTIE NUKSI VIPO KIWANJA NITAUZA TU NA VERY SOON I PROMISE U...NA sijui unaumia nn mm nikiuza Mali yangu...MPUMBAVU WW
 
Back
Top Bottom