Shamba linauzwa Morogoro

Shamba linauzwa Morogoro

jay bizness

Member
Joined
Oct 19, 2016
Posts
91
Reaction score
44
Shamba linauzwa Morogoro habari njema kwa wakazi wa Moro au hata Dar shamba kubwa sana linauzwa Morogoro.

Limelimiwa mpunga mpaka sasa ni hekari 12 na bei yake ni rahisi M7.

Morogoro Lupilo kutoka Ifakara mpaka hiyo sehemu ni kama dakika 45 mpaka kufika na lina doc zote za umiliki kwa mawasiliano piga 0628353336 au tuma sms 0719702658
 
toa maelezo ya kutosha kaka unapokuwa unatoa taarifa, sasa ilo shamba liko morogoro apo mjin au! sema shamba liko sehem flan lkn ukisema lipo morogoro tu haitoshi
 
Sikuvunji moyo mkuu,Lupiro na maeneo jirani ni ngumu kuuza shamba la hekari 12 kwa 7M,labda lingekuwa na title deed.
Barabara ya kutoka Ifakara kwenda Lupiro bado vumbi miaka nenda rudi.
Just ushauri tu!!
 
Mkuu ... tupia ata picha ya shamba lako.
Lupiro nimekaa sana maeneo hayo.
Shamba likoje ? Liko karibu na chanzo cha maji?
 
Back
Top Bottom