Natafuta kiwanja cha bei nafuu

Natafuta kiwanja cha bei nafuu

rodgers123

Senior Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
180
Reaction score
152
Habari ndugu,

Ninatafuta kiwanja cha bei nafuu maeneo ya Tegeta, Boko , Salasala , mbweni au Makongo juu.
Budget yangu ni chini ya Milioni 12. Mwenye nacho naomba ani PM.
1)Kiwanja kiwe kimepimwa na kiko kwa ajili ya makazi.
2)Kiwanja kiwe kwenye eneo zuri na tambalale.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom