Naomba mwenye uelewa kuhusu nyumba za kupanga kwa Dar es Salaam.


Apparent

Apparent

Senior Member
Joined
Jul 5, 2017
Messages
138
Likes
50
Points
45
Apparent

Apparent

Senior Member
Joined Jul 5, 2017
138 50 45
Habari za muda huu wanajamii.
Naomba kufahamishwa ni wapi kwa Dar kuna vyumba vya kupanga ambavyo kodi ni 20elfu kwa mwezi,malipo ya miezi mitatu tu na unapanda gari moja hadi Ubungo ila isiwe Gongolamboto,Temeke,Tandale na viunga vyake vinavyofanana au Mbagala.

Nategemea kupewa majibu mazuri ili nianze safari ya kwenda kutafuta chumba eneo hilo muda huu.
 
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
45,383
Likes
31,624
Points
280
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
45,383 31,624 280
Tandale
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
38,809
Likes
19,373
Points
280
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
38,809 19,373 280
Vingunguti.
 
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
3,823
Likes
3,073
Points
280
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
3,823 3,073 280
Kakae liverside chini ya daraja na elfu 20 yako
 
Lizarazu

Lizarazu

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Messages
3,430
Likes
3,448
Points
280
Lizarazu

Lizarazu

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2015
3,430 3,448 280
Nyumba za kupanga nzuri kwa Dar zipo masaki ila huku kwingine kote ni ovyoo ovyoo tu! Mvua ikinyesha hutamani kutoka ndani
 
M

mumak

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Messages
863
Likes
201
Points
60
M

mumak

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2013
863 201 60
Habari za muda huu wanajamii.
Naomba kufahamishwa ni wapi kwa Dar kuna vyumba vya kupanga ambavyo kodi ni 20elfu kwa mwezi,malipo ya miezi mitatu tu na unapanda gari moja hadi Ubungo ila isiwe Gongolamboto,Temeke,Tandale na viunga vyake vinavyofanana au Mbagala.

Nategemea kupewa majibu mazuri ili nianze safari ya kwenda kutafuta chumba eneo hilo muda huu.
Mkuu kwa ghalama uliyoitaja sizani kama utapata labda maeneo usiyoyataka ila maeneo mengi ni kuanzi 40 mfano kawe, kimara,
 
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
48,115
Likes
39,292
Points
280
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
48,115 39,292 280
Tusimcheke tumueleweshe,mfano mtu anatoka kyela atajua bei za huku,huko hata kwa 10,000 unapata chumba kina umeme na maji
Mie sijacheka ila nimeshangaa, kweli inawezekana alipotoka kuna vyumba vya bei hiyo
 
kilambimkwidu

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2017
Messages
4,462
Likes
4,310
Points
280
kilambimkwidu

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2017
4,462 4,310 280
Nenda hata Dumila, mbona Ubungo ni gari moja tu mzee kama ishu ni idadi ya magari
 

Forum statistics

Threads 1,236,611
Members 475,218
Posts 29,263,999