Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Naombeni msaada, Anaeweza kujua mashati ya dizaini kama hiyo nitapata wapi kwa hapa Dar naomba anisaidie nayahitaji.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nyumba ipo Ubungo Riverside umbali wa dk 3 kutoka barabara ya Mandela. Ina vyumba 2 , sebule, Veranda na choo cha ndani. Ina uzio Umeme na maji utashare na watu 2. Inahitajika kodi ya miezi 2...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Nauza Camera Sony DSC W 800,ipo kwenye hali nzuri ,imetumika Mara mbili tu toka inunuliwe October 2017,INA vifaa vyake vyote,INA warrant mpaka November 2018 bei ni laki 2 tu
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nurse midwife au nursing officer anahitajika haraka ..mshahara haupungui laki tano.. mawasiliano 0715407508
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Mwenye nayo wadau tuwasiliane kwa namba hii namba 0762328581
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama k cha habari kijielezavyo.... saloon ipo k mkwajuni karibu na jituo cha mkwajuni ipo kwenye barabara kubwa ya kuingia hananasif Bei: 4m maongezi yapo inapungua karibuni Au nicheki hapa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
ram 4gb disk 250gb Bei 230k Unapata Kilakitu chake mpaka external mouse Iko poa sana haina shida yeyote zaidi ya betri haikai.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu Nahitaji mafreezer used ya futi 5, kama unayo tafadhali ni PM
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni kitabu kilichoandikwa na mwanachuon Abu muhammad al maqdis kuhusu demokrasia na uislamu Na kimefanyiwa tarjama na ashfat peter na sameer mugisha kwa kiswahili Kitabu kimeeleza juu ya uislamu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni kitabu kilichoandikwa na mwanachuon toka Lebanon ..Abu muhammad al maqdis na kufanyiwa tarjama hapa Tanzania na wanafunz Ashfat peter na sameer mugisha Kitabu kimeeleza msimamo wa uislamu juu...
1 Reactions
2 Replies
639 Views
Tunauza mabaibui pamoja na mitandio kutoka Misri na nchi nyingine za Kiarabu. Bei ni Tsh 45,000 tu, karibuni sana. Kwa mawasiliano zaid ni pm
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Habari zenu? Viwanja viwili vinauzwa kwa pamoja ni futi 40 X80 kwa kila kimoja, vyote vipo pamoja(vimeungana)umeme na maji yapo kwenye kiwanja, barabara inafikika mwaka mzima. Viwanja vipo...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Hyy wana JF.. Nipo mkoani Mtwara now some college.. So nahitaji line za chuo za Airtel, So naweza kupata maeneo gani hapa mjini..? Wenyeji wa Mtwara msaada tafadhari Nawasilisha By Shombeshombe...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Tanga stone zinapatikana kwa anayehitaji, mzigo unaletewa popote ulipo, Kwa maelezo zaidi piga 0738548159
0 Reactions
0 Replies
956 Views
Gari tajwa hapo juu inauzwa bei nzuri iko safi fibali vyote vipo hai bei mil 46 ukiipenda njoo pm kibiashara zaidi na kupata mawasiliano
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Kiwanja kinauzwa Morogoro mjini- Nanenane, kina offer sqm 690, maji, umeme vipo, kiko katikati ya makazi, kilometer 1 toka barabara kuu ya dar -moro, bei 15millioni, pia kuna tofali za mchanga...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Laptop aina ya HP ProBook 4540s inauzwa Arusha. Laptop hii ina sifa zifuatazo: Specifications Processor: Intel core i3 @ 2.4Ghz RAM: 4 GB Hard Disk: 500 GB Operating System: Windows 10 Laptop...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Domain name registration ofa pata .com/.net kwa tzs 12,000 kwa mwaka. Mawasiliano 0719658086. Portal Home - Tanzania Website Experts
0 Reactions
0 Replies
641 Views
Za asubuhi wapendwaaa Nina hisaa 1300 za crdb bank naziuzaa napatikana arusha namba yangu ya simu ni 0625 691470.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom