amani peace
Member
- Oct 29, 2017
- 10
- 5
Kiwanja kinauzwa Morogoro mjini- Nanenane, kina offer sqm 690, maji, umeme vipo, kiko katikati ya makazi, kilometer 1 toka barabara kuu ya dar -moro, bei 15millioni, pia kuna tofali za mchanga 1000 na udongo 2000, mchanga lorry 1, hivi tunaweza zungumza tofauti
karibu ujipatie makazi, piga 0679815161
karibu ujipatie makazi, piga 0679815161