Viwanja Vinauzwa Pongwe,Tanga.

Viwanja Vinauzwa Pongwe,Tanga.

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,523
Reaction score
14,002
Habari zenu?
Viwanja viwili vinauzwa kwa pamoja ni futi 40 X80 kwa kila kimoja, vyote vipo pamoja(vimeungana)umeme na maji yapo kwenye kiwanja, barabara inafikika mwaka mzima.
Viwanja vipo Pongwe,Sanawari.
Bei ya mwisho ni milioni 5 kwa vyote viwili, vinauzwa na mwenye mali.
Mawasiliano njoo PM
 
Umbali toka main road hadi kwenye kiwanja si zaidi ya 3 kilomita. Kwa bodaboda ni elfu moja kwa kutembea mwendo wa kawaida si zaidi ya nusu saa.
 
Habari zenu?
Viwanja viwili vinauzwa kwa pamoja ni futi 40 X80 kwa kila kimoja, vyote vipo pamoja(vimeungana)umeme na maji yapo kwenye kiwanja, barabara inafikika mwaka mzima.
Viwanja vipo Pongwe,Sanawari.
Bei ya mwisho ni milioni 5 kwa vyote viwili, vinauzwa na mwenye mali.
Mawasiliano njoo PM

je vina hati ya wizara ya ardhi?
 
Havina hati ya wizara, ila viko kwenye process ya kupimwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom