Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Napokea oda ya kuku kuanzia wawili (2) na kuendelea waliokwisha kuandaliwa tayari bei inaanzia 15000-20000 Dar unaletewa ulipo na wengi kuanzia100 hawa Ukishaagiza unapata baada ya siku 2 bei ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa anae hihaji mahindi nina gunia 50 na kila gunia ni shilingi 50000 tu napatikana Arusha kisongo kwa mawasiliano piga 0759547047
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Inaingia kwenye camera yoyote nikon au canon, imetumika ndani ya mwezi mmja inasupport function zote za speedlight bei ni laki 2 tuu(fixed)
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Bei million 14. Lipo kwenye Hali nzuri kabisa limetumika kwa mwaka mmoja tuu. Ni LA mwaka 2003 Lina seat cover za leather. Halidaiwi ushuru. Sababu ya kuuzwa ni kwamba muhusika amepangiwa...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Nipo Dar es salaam Nataka moja kati ya hizo simu Ukiniuzia simu ya uwizi au yenye tatizo la kiufundi , nakwambia nakufunga Ofa Laki 2 TZS Call 0718295182, 0753254562 BANGOJEUPE
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Zipo tani tatu za tangawizi natafuta soko kubwa ambapo zinaweza kutoka zote haswa viwandani au masoko makubwa wanaochukua nyingi nyingi. Mzigo umeshatoka shambani tayari umeingia mjini. Karibu sana
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Kiwanja kinauzwa pamoja na nyumba kiwanja kinauzwa kikiwa na nyumba GEITA njini kwa bei nafuu. pia kama utaitaji viwanja ama nyumba katika mikoa ifuatayo nijulishe BUKOBA MWANZA MUSOMA MARA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wangwana naomba kama kuna mtu hum anae jua sehem wanayo uza fire extinguisher kwa bei ya jumla kwa mwanza please
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hey,mambo vp wana jamii forum? Natumai mu wazima kabisa, ombi langu kwenu kwa anaefahamu bei ya tangawizi sokoni kwa kilo naomba anipe price tafadhari na kama kuna anayefahamu soko la tangawiz kwa...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Asee nina mil 1 ninahitaji piki piki used(isizidi mwaka mmoja toka inunuliwe na iwe haijaguswa injini)ya kutembelea mwenye nayo anipe namba tuwasiliane!
0 Reactions
0 Replies
674 Views
PATA SERIES NZURI KWA BEI SAWA NA BUREE..................SEASON KAMA INHUMAN,THE GIFTED,DESIGNATED SURVIVOR 1&2, na nyingine nyingii nichek kwa 0658714777, or airtel 0692442335
0 Reactions
4 Replies
924 Views
Habari wakuu. Naomba kujuzwa sites nzuri kwa ajili ya kununua viatu mtandaoni na pia kujua namba za viatu za nchi yetu ukilinganisha na namba za mataifa mengine.... Inaonekana mataifa tofauti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ng'ombe wa maziwa wanaotoa lita 17 hadi 20 aina ya Ayrshire na Freysian. Wenye mimba kati ya miezi 4 hadi 8. Bei 2.2 mil. Ng'ombe wanapatikana karibu na Mawasiliano(Sam Nujoma) Dar es salaam...
1 Reactions
9 Replies
8K Views
Habari wa jamii, nataka kununua kiwanja na ndio mara yangu ya kwanza na nilikuwa naomba kwa wenye uzoefu wa biashara izo wanishaur ni njia zipi naweza kupitia ili nisije jikuta tumeuziwa wawili na...
0 Reactions
1 Replies
740 Views
SAMSUNG SMART TV FULL HD LED USB PORT HDMI BIULDER CHANNELS 40" 1,600,000/= 0717-062242 DELIVERY IN DAR NA MIKOANI TUNATUMA PIA TUPO K.KOO CHINA PLAZA @nafuuelectronicssupplier.com
0 Reactions
2 Replies
894 Views
Habari, mwenye uzoefu na mashine za kichina za kutengenezea kokoto anipe uzoefu, kuhusu uimara wake, changamoto zake na kadhalika. shukrani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habarini wakuu..naamini tu wazima wa afya na tunaendelea kupambana kujikwamua kiuchumi mimi ni mfugaji kwa muda sasa na pia ni mwanafunzi wa chuo cha sayansi ya afya na tiba- bugando Ninauza...
0 Reactions
1 Replies
48K Views
Back
Top Bottom