Zipo na mimi natumia ya chuo mabibo zimejaa teleAirtel sidhani kama wana line za chuo ila wana vocha za chuo
karibu sana uonje raha za mikoani. nakuandalia supu ya MABUKU lau ukirudi bandari salama upate kusimulia asili yetu.Duh...! Ningekuwa huko town DsM ingekuwa powa ila nipo Mkoani huku MT.. Then ni mgeni
Shukrani sana mkuu... Inabidi nidrop site hzo midamidaNenda Airtel shop pale Maduka makubwa, chukua boda boda mwambie akupeleke Madukani airtel shop, au fika Stand kuu ya mabasi ndani pale, utaona miamvuli ya airtel fika hapi muulizie mtu wa kuitwa Bashiru Macho, au Hizza frank watakusaidia kuzipata...
Au njoo opposite ya Voda shop pembzoni Mwa sokokuu kunamiamvuli zinapatikanaShukrani sana mkuu... Inabidi nidrop site hzo midamida
Kula panya tu huko mawasiliano achana nayoDuh...! Ningekuwa huko town DsM ingekuwa powa ila nipo Mkoani huku MT.. Then ni mgeni