Hyy wana JF..
Nipo mkoani Mtwara now some college.. So nahitaji line za chuo za Airtel, So naweza kupata maeneo gani hapa mjini..?
Wenyeji wa Mtwara msaada tafadhari
Nawasilisha
By Shombeshombe...
Kiwanja kinauzwa Morogoro mjini- Nanenane, kina offer sqm 690, maji, umeme vipo, kiko katikati ya makazi, kilometer 1 toka barabara kuu ya dar -moro, bei 15millioni, pia kuna tofali za mchanga...
Laptop aina ya HP ProBook 4540s inauzwa Arusha. Laptop hii ina sifa zifuatazo:
Specifications
Processor: Intel core i3 @ 2.4Ghz
RAM: 4 GB
Hard Disk: 500 GB
Operating System: Windows 10
Laptop...
Kama kichwa cha habari, kilivyo hapo juu, dagaa wasafi wanapatikana kwa Bei rahisi sana Tsh. Laki na sitini ( 360,000 ).
Tupo Dsm, mikoani pia tunatuma,
Ni pm kwa Mawasiliano zaidi
karibuni sana
Nawasalimu Wakuu.
Moja kwa moja ninyooke nisiwachoshe.Nimefuatilia bei za gari kuingiza nineona naweza kununua sasa maana mambo ya msingi nimepunguza la starehe kidogo nimiliki usafiri wangu ka...
Nauza Tecno W3 LTE yenye sifa zifuatazo.
Kioo size yake ni inches 5.
Battery 2500mAH inakaa muda mrefu.
Ina uwezo wa 4G LTE.
Internal Memory 8Gb.
R.A.M 1GB.
Kamera ya nyma 8 Mp.
Kamera ya mbele 2...
Ewe Mzazi ewe mwanafunzi tumia karibuni Vitabu Vya bookkeeping olevel nilivyonavyo sasa ni vya form one tu.ukiitaji nicheck Wsp 0782163738 Au nipigie 0752163738/0712163738
Habari zenu wadau.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Mimi naishi kahama mkoani shinyanga.Wazo langu ni la kufungua Mashine ya kusaga na kukoboa mahindi.
Nilipata sehemu karibu kabisa na...
Za jioni wadau? Simu aina ya Huawei P8 na INA 3GB ram na internal yake ni 16 GB. Haina tatizo lolote naiuza kwa sababu Nina simu nyingine hii imekaa tu ndani. Iko kwenye condition nzuri na kwa...
Waheshimiwa kwa yoyote anayeweza kunisaidia kujua mahali ambapo nitapata shamba maeneo yaliyo Karibu na manispaa liwe Na maji aidha ya kisima au mto naomba tuwasiliane hapa 0757014056
Nimepewa zawadi ya vocha za mtandao wa Tigo zenye thamani ya Tsh.70,000/= ilihali mimi ni mtumiaji wa mtandao mwingine na sina line ya Tigo,Natafuta mtu wa kumuuzia vocha hizo kwa Tsh.63,000/= au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.