Msaada: Anaejua mashati ya dizaini hii naweza kupata wapi, please nayahitaji

Msaada: Anaejua mashati ya dizaini hii naweza kupata wapi, please nayahitaji

SaraJr088

Member
Joined
Jul 9, 2017
Posts
37
Reaction score
39
Naombeni msaada,

Anaeweza kujua mashati ya dizaini kama hiyo nitapata wapi kwa hapa Dar naomba anisaidie nayahitaji.
 

Attachments

  • Screenshot_20171101-225500.png
    Screenshot_20171101-225500.png
    522.3 KB · Views: 95
  • Screenshot_20171101-225419.png
    Screenshot_20171101-225419.png
    512.3 KB · Views: 98
Umejibiwa na wangapi? Hii nakuonyesha jibu lilipo niponde, nitukane ila utarudi kwa Joti.
 
Nenda Kinondoni Studio ulizia duka la Mama Shadee outifitt.
Yapo kila aina na kila rangi.
Au ingia insta @mamashadee_outfitt
 
Mama shadee nimecontact nae Amesema Hana
Dah pole.
Jaribu tyresse fashion au insta nilishawahi kuyaona kwa mtu anauza.
Sijui alikiwa nani yule.
But usijali....ngoja nicheki kisha nitakufata Pm
 
Back
Top Bottom