Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Lahe hotels ya Mwanza yenye hadhi ya nyota tatu inatafuta proffessional manager mmoja mtanzania au kutoka nchi jirani mwenye uzoefu wa kuendesha hoteli na pia receptionist mmoja na waitress...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
GRAM TECH COMPUTER SOLUTION. Tunashugulisha na kazi zifuatazo:: 1.Software upgrades and installation 2.OS installation(Windows 10,8.1,7,Vista,XP) 3.Internet Security 4.Microsoft office...
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Natafuta Carina GT. Kuanzia namba C iwe Katika mazingira mazuri. Njoo na offa yako.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina masalia ya dola za marekani niliyosave safari yangu ya ulaya. Kuliko niyauze bureau afu wapige profit kwa mteja wa mwisho bora niyauze mwenyewe, anayehitaji anipm.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Sanyo Used miezi 3, 420,000 Samsung mpya 750,000 Zote zina horse power 2.5 Namba ya muuzaji ni ‭+255 67 949 7537‬ Huyo ndo muuzaji anayehutaji amcheki
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Zipo Ekari 300 Zinapatikana ktk tarafa ya Lupembe mkoani njombe Kwa mawasiliano zaidi 0764426929,0655726929 na whatsapp 0742188846 Zinauzwa kuanzia heka 10 na kuendelea. Bei ni tsh laki moja tu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wandugu hivi hapa Dar kuna anayefahamu Mahali wanapofanya biashara ya" ku Trade" in magari?yaani wanachukua gari lako la zamani, unaongeza pesa na kupewa gari jingine jipya zaidi . Yeye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wanaohitaji viwanja vya makazi vilivyopimwa..ndani ya eneo lenye huduma na makazi tayari. Eneo linafikika..mtaa unaitwa Leperanya/kwa pius.. Mita 300kutoka kituo cha daladala/soko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina kibanda change nahitaji fundi wa mfumo wa umeme na mabomba kabla ya kupiga plasta, awe Dar, vifaa vyote nitanunua mwenyewe yeye nitamlipa ufundi tu, mimi nipo ulongoni Gmboto. ni nyumba ya...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Natafuta soko la kuku chotara na mayai yake..napatikana tabata kinyerezi kuku ni wakubwa nauza elfu 15,mayai yake tray elfu 10 ni kama ya kienyeji mawasiliano ni 0718849991 kwa atakaehitaji
3 Reactions
8 Replies
6K Views
SOLD SOLD SOLD
1 Reactions
8 Replies
820 Views
Nyumba ya vyumba vitatu pamoja na uwanja mkubwa inauzwa eneo la Matejoo -Arusha. Sifa za Nyumba:- Ina Vyumba-3 (kimoja master) ,Jiko ,Dining, Stoo, Public Toilet na Bathroom. Maji yapo na Tank la...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!! Ninauza mayai ya kuku wa kienyeji kwa ajili ya kula na pia ukitaka kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
537 Views
Habari wakuu, Nahitaji power bank kwa ajili ya laptop yangu,naomba kujua kwa anayefahamu zinapopatikana.nipo dar. Thanks.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tafadhali wadau ninaomba kupata elimu kuhusu aina ya Incubator inayotumia umeme iliyo nzuri maana nimeanza kutotolesha mayai kwa kutumia made made inayotumia mafuta ya taa lkn kuna changamoto ya...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Ndugu zangu hodi humu ndani, Ninauza mahindi yapo Morogoro nauza kilo 750/= Sina longolongo Nina gunia 20 za 120kg. Karibuni wateja.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tecno C5 Inauzwa na ni nzima 0768368560 na 0656119263 Dar es salam
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Changamkia fursa nyumba mbili mpya za kisasa ziuzwa chanika mjini DSM ziko sehemu moja.But msauzi vyumba vya kulala 5 vyoo vya ndani cha public na self container,dinning room,jiko na valanda 2...
1 Reactions
44 Replies
11K Views
Y
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom