Nahitaji fundi wa mfumo wa umeme na mabomba, awe Dar Gongo la mboto

Hechinodemata

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
1,483
3,327
Nina kibanda change nahitaji fundi wa mfumo wa umeme na mabomba kabla ya kupiga plasta, awe Dar, vifaa vyote nitanunua mwenyewe yeye nitamlipa ufundi tu, mimi nipo ulongoni Gmboto. ni nyumba ya vyumba 3, kimoja master, dining, kitchen, na siting room,
 
Electical installation
Conduit and tranking
Ndio kazi zangu izo nna miaka kama 7 na ushee am dealing with them.
 
Vimba ELECTRICAL CONTRACTORS
Namba 0655936996
Ofisi zao zipo chanika na kisarawe.
 
Electical installation
Conduit and tranking
Ndio kazi zangu izo nna miaka kama 7 na ushee am dealing with them.
kwa uzoefu kwa nyumba km hiyo vifaa vyake bila nguzo na fee ya Tanesco itagharimu shiling ngapi?
 
Mpaka aweze kukujibu hili swali ni lazima ajua aina ya installation unayotaka, maana wiring inategemea na matakwa ya matumizi ya mtu.
 
kwa uzoefu kwa nyumba km hiyo vifaa vyake bila nguzo na fee ya Tanesco itagharimu shiling ngapi?
Inategemea na kibanda chako. Kama utatumia conduit au trunk. Conduit ni zile pipe za kupitisha waya ili zisipate damage na zisiathirike na weathering. Conduit zaweza kuwa za bati au za plastic.

Pia tukija upande wa trank nazo ni zile za squire sio za mviringo. Hizi hutumika kweny ukuta wa tofari. Mara nyingi ikitokea unataka upitishe waya mahali ambapo hapahitaji kutindua ukuta.

Gharama itategemea na designe unayo taka. Labda ungepiga picha ili nikushauri
 
conduit maana ndio upepo wa bongo kwa nyumba za kuishi
3 rooms,jiko,stoo,dining,sitting room
 
Imekulakwako engineers....we are doing impossible immediately... But miracle takes a bit longer....nipm nifurahi
 
Back
Top Bottom