Wapi Biashara ya kubadilisha Magari

Wapi Biashara ya kubadilisha Magari

Mwanitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,035
Reaction score
597
Wandugu hivi hapa Dar kuna anayefahamu Mahali wanapofanya biashara ya" ku Trade" in magari?yaani wanachukua gari lako la zamani, unaongeza pesa na kupewa gari jingine jipya zaidi . Yeye analikarabati na kumwuzia mtu mwingine.Hiyo biashara ingepata wateja wengi sana,uhitaji nina uhakika ni Mkubwa.inafanyika sana ulaya sijui kwetu kwa nini?
 
Wapo wanaofanya sana hiyo biashara yard kadhaa nazifahami zinafanya, ila tatizo sasa wanapenda slope sana yani wanataka wamlalie mtu kwa kuthamanisha gari lake kwa bei ya chini sana hivyo mtu anajikuta anatakiwa kuongeza ela nyingi zaidi ili apate gari jipya na ndiyo maana mtu anaona bora auze huko mtaani aongeze pesa akanunue kuliko kubadilishana gari na kuongeza pesa.
 
Back
Top Bottom