INCUBATOR :

Rutatinisibwa

Senior Member
Aug 22, 2011
109
42
Tafadhali wadau ninaomba kupata elimu kuhusu aina ya Incubator inayotumia umeme iliyo nzuri maana nimeanza kutotolesha mayai kwa kutumia made made inayotumia mafuta ya taa lkn kuna changamoto ya usimamizi wa kugeuza mayai!

Nimeambiwa kwenye maonesho ya 77 zipo ila cjafanikiwa kufika lkn hata nikifika nimeonelea nipate maoni ya wadau hapa ili niende nikiwa na ka-ufahamu kdg!

Waitu mbakasinge!

By Rutatinisibwa
 
Mkuu achana na incubator za kienyeji, nakushauri tumia incubator za kisasa zenye kuaminika. Unahitaji incubator ya ukubwa gani?
 
Mkuu habari umeisha pata Incubator kama bado tuwasiliane nipo dar ila popote tunakuja mashine zetu ni bei rahic 0764870930
 
7bb3b12e906ff238ae190572ac104203.jpg
ac6dd6d7d52c3920720b2e10392ba3e9.jpg


Hizi ni sample za mashine zetu tunaunda wenyewe


Na hizi ni bei zetu
ba34a56b48b618fe77daae58aeffdbb4.jpg


4d6de1a2ae65249a5e14e598cf973bc4.jpg
 
Unataka kutotolesha kibiashara au kwajili ya kufuga mwenyewe? Kama kwajili ya kufuga mwenyewe achana na mashine kwanza efficient zake nyingi ni below 75% (japo wenyewe wanazisifia sana zionekana bora), na kwa huu umeme wa kipindi hiki utaumia tu.

Mi huwa natumia kuku wa kienyeji kutotolesha mayai ya chotara na nina uwezo kila mwezi kuingiza vifaranga vipya zaidi ya mia.
 
Back
Top Bottom