Nipo Mwanza natafuta economy car! Kwa MTU mwenye kuweza kusaidia, anichek plz
Iwe kwenye condition nzuri
Iwe na radio +ac
Isiwe na michubuko na isiwe record za ajali!
Karibuni!
Kwa wale wapenzi wa riwaya za kijasusi pamoja na riwaya za kijamii, napenda kuchukua fursa hii kuwatangazia juu ya ujio wa kitabu cha DIMBWI LA DAMU kilichoandikwa na marehemu BEN MTOBWA na...
Habari ndugu zangu.
Nimeibiwa bag langu Jeusi ndani kukiwa na
-Laptop aina ya HP ENVY ×360 Core i5 touch screen ya Silver (System password Protected)
-External Hard drive Transcend 1TB ya Blue...
ni machine aina ya edon ambazo spea zake znaingiliana na king max au dubao.
Bado mpya na naiuza kwa sababu ya kukosa mda mzuri wa kutafuta eneo zuri . In perfect condition.
price ni 450,000tshs
Wakuu naomba msaada nilikua natazama chanel 5 Leo sa 9 alasiri kipind cha wakilisha Kuna kampuni kinaitwa VIRGIN linakopesha mtaji kuanzia mil 3 Kwa ajili ya kilimo ndani ya miez mi3 unazalisha...
Naanza na list ya massage zilizopo katika jiji la dar kwa ajili ya kupunguza uchovu kama unazijua nyingine endelea...
1.miriam massage masaki
2.signature massage makumbusho
3...
Habari zenu wana JF, me ni mfanyabiashara ambaye nanunua mpunga kwa wakulima then nakoboa na kuuza mchele kwa jumla sasa kama mwezi hv soko limeyumba natafuta mtu ambaye anajua wapi masoko...
Ofa,ofa,ofa
Ninauza mayai ya kuku wa kienyeji kwa ajili ya kula na pia ukitaka kwa ajili ya kutotolesha yanapatikana kwa order.
Bei ya tray moja ni elfu kumi tu(10,000tsh) ninapatikana Dar es...
Salaam wadau..nauza mziki wa gari Complete yaani Radio,booster na woofer.Radio ni Kenwood original inayocheza DVD.MP3.MP4 na USB drives...ni soft touch na inadivx.Booster ni ya inches 12 na woofer...
Tunayo maziwa mazuri sana na halisi ya Ng'ombe ni mazuri kwaajili ya afya ya watoto na watu wazima .....Karibuni ni bei nafuu kabisa
MAZIWA FRESH 5 lts (12,000)
MTINDI 5lts (14,000)
Tupigie...
Habari zenu wadau.
Natafta mshonaji mzuri wa majoho ya mawakili (ADVOCATES GOWN), au kama kuna mtu anafaham wapi yanauzwa mazuri. Bkama kuna mwenye nayo ancheki kwa namba 0719 815018
Kama Kichwa hapo juu kinavyo jieleza.. Nauza Bucha ya samaki iliyo kamilikia, ina frizeer ft 4, Meza 3, radio, mzani wa digital na vifaa vyote vinavyo vinavyohitajika kwenye Bucha ya samaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.