Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Anayetaka Asali kwa jumla nicheki 0765324008.Nipo Same.. Kilimanjaro
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta nyumba au Chumba kupanga maeneo karibu na muhimbili,
0 Reactions
0 Replies
536 Views
Habari wakuu! Natumaini nyote ni bukheri wa afya kwa walio na maradhi,ni imani yangu mwenyezi Mungu atawapatia wepesi mtapona haraka ili muweze kuendelea na majukumu yenu kama kawaida...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Habari zenu, Ninauza mayai ya kuku chotara. Bei ya trei moja ni 12,000/- Tshs tu.Ninapatikana Mbezi ya Kimara. Kwa atakayehitaji namba zangu ni 0685323620. Kama kuna anayejua soko la mayai kwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu ninauza mayai ya kuku chotara bei ya trei moja ni 12,000/- Tshs tuna patikana Mbezi ya Kimara. Kwa atakayehitaji namba zangu ni 0685323620. Kama kuna anayejua soko la mayai kwa hapa...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
[https://1] Adam Boukadida, Acting Group Treasurer at Etihad Aviation Group, pictured centre with his Treasury Professional of the Year award, flanked by Matthew Hurn, Chief Financial Officer at...
0 Reactions
1 Replies
639 Views
``````**AFRIsoft Technology Lab.* _Huduma tunazotoa_ ⚙Blog na app yake Tsh 30,000 ⚙Adsense account Tsh 50,000 ⚙Kutangaza biashara yako kwenye groups za whatapp zaidi ya elfu moja. Tsh 5,000 kwa...
0 Reactions
0 Replies
574 Views
Wakuu, Carina Ti namba D inahitajika haraka ndani ya wiki hii iwe na Km chini ya 90,000. Full ac, Dvd music system
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji iPhone 7 plus 128GB offer 1 million cash Nicheki kwa namba 0711633656 au 0746848506
0 Reactions
0 Replies
441 Views
Hello waungwana, naomba kujua bei ya matofali yale ya kujenga bila sementi, yanapandiana tuu, hivi yanauzwaje. Na je ubora wake vip!? Tafadhali naomba mnisaidie
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Tunauza vifaa mbalimbali vya ulinzi. Pia tunafanya installation kupitia simu yako hii itakufanya uweze kupata taarifa hata ukiwa mbali na eneo lako. Tuko DAR ES SALAAM KARIAKOO Faya Mikoani pia...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wadau nauza simu yangu aina ya Samsung S5. Ni nzima kabisa nimetumia mwaka sahvi. Betri inayokaa na charge sku nzima huku ukitumia. Nauza sababu nmenua Iphone6. Nayo nyingine S7. Zote natumia...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kama upo dar njoo pm tuwasiliane, nimeinunua toka dukani tarehe 2/10/2017, ni bado mpyaa haina shida yoyote. (iPhone 6s) naiuza 650k. Bei haipandi wala haipungui.
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Kwa yeyote anaeuza simu awe Dar,iwe katika hali nzuri,internal storage kuanzia 16Gb+ nichek pm
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Eneo: Kibaha kwa mfipa km 2.5 kutoka morogoro road Ukubwa: 30*60 m Bei: 8,000,000/= Ni mali yangu sio dalali PM tufanye biashara
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nahitaj mdada anaejua kazi za kwenye salon za kiume, awe na uzoefu wa kutosha. Salon ipo temeke Dar es Salaam. Piga 0659782778
0 Reactions
0 Replies
624 Views
Jamani kuna mizani mikubwa inauzwa ni industrial scale inaweza kupima hadi kg 3000, inafaa sana kwenye biashara ya kupima mizigo mikubwa, atakayehitaji ani PM nimuanganishe na mhusika,
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari. Waungwana hebu naomba offer zetu (in term of cost) kwa ajili hard drive ya ukubwa wa 2tb iwe externa na brand new (sealed) na kabila liwe transcend.. Niko serious na nahitaji haraka. Hii...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom