Tunatoa huduma za kudesign
Logo
Product labels
Posters and brochures
Business card
Calendar
Billboard
ID card
Music covers...nk
Huduma zetu ni nafuu sana
Contacts:
Call: 0768829357
Whatsapp...
Waungwana, wapi naweza kupata RAM ya 8 GB (4 GB X 2) kwa MacBook Pro 17-inch mid-2010?
Nimefanya research, nahitaji ya OWC (PC8500 DDR3). Ni duka gani kwenye mji huu wa Makonda naweza kupata hii...
Habari wakuu.
Viwanja vinauzwa Bagamoyo jirani na Matimbwa Secondary, Kijiji cha Sunguvun, Mtaa wa Bomu.Dakika arobaini na tano kwa daladala toka njia kuu iendayo Dar Es Salaam.
Ni Hekari tano na...
Kampuni ya clearing and forwarding ya Real Aviation, clearing and forwarding services inatafuta patner wa kibiashara kwa malipo ya commission kampuni ina ofisi JKN terminal one na ipo mbioni...
Habari ,kijana anatafuta mtu kubadilishana nae kituo cha kazi fani ya MTEKNOLOGIA MSAIDIZI(MAABARA)
Kutoka singida Kwenda Tanga
Kwa mtu alietayal kutokea tanga kuja singida tuwasiliane PM
Hello Ladies and Gentlemen kuna chumba kwa ajili ya biashara kinapangishwa MKABALA NA IDARA YA MAJI Arusha kama una mtu unayemjua please let's me know please
Kadiri siku zinavyozidi kwenda, ndivyo teknolojia inavyokua, na sasa wengi wetu tunanunua vitu online...SASA
Kwa mini uendelee kuibiwa na matapeli pale unapofanya manunuzi??kutofaham bei...
Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!
Ninauza mayai ya kuku wa kienyeji kwa ajili ya kula na pia ukitaka kwa ajili ya...
Habari za usiku wana jf,mimi natafuta chumba cha kupanga arusha mjini kisiwe mbali na jengo la OKI kisizidi sh 40000 kma kitapatikana tafadhali ni PM nawasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.