Nyumba inauzwa Arusha

NguoYaSikuKuu

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
592
701
Nyumba ya vyumba vitatu pamoja na uwanja mkubwa inauzwa eneo la Matejoo -Arusha.

Sifa za Nyumba:-
Ina Vyumba-3 (kimoja master) ,Jiko ,Dining, Stoo, Public Toilet na Bathroom.
Maji yapo na Tank la akiba.
Ipo sehemu nzuri na inafikika kwa urahisi sana.

Ukubwa wa Eneo :-
40 kwa 15 na eneo lililobaki ni kubwa kwa kufanya kitu kingine.

Price :-millioni 65 mazungumzo yapo. Haina dalali.

Serious buyer call- 0714486466
 
Nyumba ya vyumba vitatu pamoja na uwanja mkubwa inauzwa eneo la Matejoo -Arusha.

Sifa za Nyumba:-
Ina Vyumba-3 (kimoja master) ,Jiko ,Dining, Stoo, Public Toilet na Bathroom.
Maji yapo na Tank la akiba.
Ipo Barabarani na inafikika kwa urahisi sana.

Ukubwa wa Eneo :-
40 kwa 15 na eneo lililobaki ni kubwa kwa kufanya kitu kingine.

Price-millioni 65 mazungumzo yapo. Haina dalali.

Serious buyer call- 0714486466
Kwa bei hiyo anaweza kuinunua dr shika tu kwa usawa huu ila uwe mpole kusubilia mabilioni yake ya urusi
 
Mkuu unaposema ipo barabarani unafukuza wateja maana kwa awamu hii barabara zimekuwa adui mkubwa wa majengo ya watu binafsi na ya Serikali..

Ungeandika hivi;
Nyumba inauzwa Arusha ipo mbali sanaaa na barabara na km 300 kutoka kwenye reli.
 
Hapo kwenye red umeua mkuu :D
 
matejoo uwiiiiiiiiiiiii huko labda ninunue ak 47 maana usalama ni hafifu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom