Mobbi shop ni ecommerce website iliyoundwa kwa ajili ya kuunganisha wafanyabiashara (hasa wale wanaposti bidhaa zao via FB/ IG) na wateja wengi zaidi.
Lengo ni kusaidia nyinyi wafanyabiashara...
Hii nyumba ipo Mwenge inapakana na hospitali ya Maria Stopes karibu na kituo cha Afrika sana ipo ndani ya geti
Nyumba ina madirisha ya vioo tiles japo bado baadhi ya sehemu mtu ametoka sio muda...
Nitaondokea Ubungo kama upo tayari twende, muda wa kuondoka Dar saa 11:30 Asubuhi.
Keshokutwa Jumatano, kama unaenda nicheki inbox au nitext kwenye 0799455132
Taraji Oil - Pure Organic Cold Press Coconut Oil. Useful for cooking and External Use.
Ni mafuta halisi ya Nazi Zilizokoma Yanafaa Kwa Kupikia na Kupakaa
Contact call/sms/whatsapp...
Assalam Alekium
nina hitaji mashine ya ushonaji kwa maana ya cherehani, kwa yeyote mwenye assets hizo ani PM pamoja na maker na bei yake. Mwenye bei ndogo ndo nitamfuata. AHSANTE
Nna mashine za kukamua juice za miwa 12, tano tayari zina watu hizo saba zilizobak natafuta vijana wachapakazi kila mmoja nimuweke kwenye mashine yake apige kazi, zote zipo Dar
TANZANIA YA VIWANDA
Bei cheeeeee wala masikio yako hayajawahi kusikia,
SUMSUNG GALAXY note 3.
Ni used kidogo tu ila ipo njemaaa kila idara.
Sifa
2Gb Ram
32gb internal
5.5inchs
240,000.tuuuuuu.
Piga sasa hivi...
Wakuu nauza miche ya Strawberry kwa ajili ya kuotesha.
Miche iko kwenye viriba na iko tiyari kwa kuotesha na haina hatari ya kufa kwa sababu iko kwenye viriba.
BEI NI TSH 2500/ KWA KILA MCHE...
Salaamu kwenu wana-JF wote.
Kama tittle ya uzi inavyojieleza, nauza vitu hivyo kwa bei cheeee kabisa! Bei ya 'mzigo utoke fasta'. Ni mali yangu halali...
Wanajamvi,
Naomba anayefahamu kiwanja kizuri kilichopimwa maeneo ya Pugu, Gongo la Mboto, Mbezi, Kinyerezi, Kimara. Kiwe sehemu nzuri siyo bondeni na kiwe siyo mbali sana na barabara na kiwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.