Nyumba full inaoangishwa 4 office au makazi familia

JMWAKA

JF-Expert Member
Jun 18, 2012
655
500
Hii nyumba ipo Mwenge inapakana na hospitali ya Maria Stopes karibu na kituo cha Afrika sana ipo ndani ya geti

Nyumba ina madirisha ya vioo tiles japo bado baadhi ya sehemu mtu ametoka sio muda mrefu na inafanyiwa maboresho zaidi tiles na rangib sebule kubwa sana vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master choo cha public kipo ndani jiko kubwa maji ni muda wote na luku ya kwako

Bei 500,000/= kwa mwezi kodi miezi 6

Mawasiliano
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom