Habari waungwana!
Nimejaribu kupekua mitandaoni ili kupata bei za mazao mbalimbali sijapata tovuti rasmi inayoonyesha takwimu za bei za mazao/vyakula.
Kwa anayejua viazi mviringo Mbeya kwasasa au...
Habari wana Jukwaa.
Nahitaji mtu anayeweza kutengeneza sabuni za kuogea za mche. Kama unaweza au una mfahamu mtu ajuaye tafadhali niunganishe naye.
Kuna rafiki yangu ana uhitaji sana, Pia waweza...
Wakuu kwema!!
Kama kichwa kinavyo jieleza TV aina ya aborder size 19 inauzwa kwa 200k,Radio aina ya aborder inauzwa kwa 100k,king'amuzi cha startimes kwa 20k,stend ya TV kwa 20k...!
Napatikana...
MIFUPA
Tunauza mifupa inayotokana na wanyama kama vile ng'ombe, mbuzi nk
MATUMIZI
1. Inatumika kutengeneza chakula cha mifugo, kama vile kuku, kanga, bats ,nk
2. Kutungenezea sahani za mifupa...
Laptop min bytspeed
SIFA ZAKE;
- HARD DISK 80GB
- RAM 2GB
-PROCESSOR 1.60GHZ
-NI TOUCH SCREEN
-NI SCREEN ROTATE
-INA WEB CAMERA
-INAKAA NA CHAJI MASAA 8
BEI Tsh 250,000/= tu.
anayehitaji anichek...
Nauza laptop yangu kwa bei ya shilingi laki nne (4) specifications zake ni RAM 4GB. HARD DISK 500GB processor 1.6 Hz system type 64-Bit operating system kama unaitaji ni D.M
Ndg zangu sina shaka hamjambo...tangazo langu nikwamba kinahitajika chumba kimoja cha kupanga kuanzia shilingi35000 mpka 50000, maeneo ya tabata. Ikiwa self itapendeza zaidi kwa mawasiliano ni pm
1. Taarifa za kutosha/nyingi na za kipekee unique content
2. Ukurasa unaoload kwa haraka na wenye code chache
3. Menu rahisi kwa mteja na viunganishi angalau kila paragraph
4. Kupandisha kwenye...
Pata calender mpya ya mwaka 2018 yenye picha yako binafsi, familia, office au ya pamoja na marafiki kutoka SMART IT SOLUTIONS kwa bei ya kuanzia
TSH 5,000/=
Piga:06528222228...
Pata calender mpya ya mwaka 2018 yenye picha yako binafsi, familia, office au ya pamoja na marafiki kutoka SMART IT SOLUTIONS kwa bei ya kuanzia
TSH 5,000/=
Piga:06528222228
whatsapp:0652822228.
tangazotangazo
pikipiki ya miguu mitatu (maarufu kama bajaji)aina ya tvs king inauzwa.imetumika kwa mwaka 1 na miezi 3, iko katikahali nzuri.bei tsh 3,600,000 mazungumzo yapo.piga simu: 0755252263
Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!
Ninauza mayai ya kuku wa kienyeji kwa ajili ya kula na pia ukitaka kwa ajili ya...
Kwa wakazi wa dar maeneo ya keko,chang'ombe na maeneo ya jirani karibuni kuosha gari dogo kwa bei ya promotion 7000/= tu tunaosha ndani,nje na injini yote
Bajaji 3000/=
Pikipiki 2000/= tu
Na wale...
Kitanda cha mtoto kilicho tumika tayari kinapatikana tegeta masaiti kwa bei ya laki moja na tisini (190,000) kina chaga zake mbili hio bei ni bila godoro.kina hali nzuri tu. Karibu kwa namba 0756...
Ni wazoefu wa upigaji rangi mbalimbali za nyumba zenye kupendeza kwa mawasiliano zaidi nichech tuku rembee nyumba yako kwa gharama nafuu kulingana na wakati 0692940943
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.