Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Bonde zuri kwa kulima mpunga, mahindi au bustani linauzwa
0 Reactions
4 Replies
827 Views
Habari za asubuhii Nahitaji fundi wa mashine ya kufulia nguo anipe maelezo ya kitaalamu kuhusu mashine aina ya Nikura kwani nahitaji kununua ili nifungue dry cleaner hapa mbeya +255756417990.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habarini za mida kwa wale wateja wa Photocopy Mashine zinapatikana aina Ya Xerox na Cannon colored and black and white pia Ploter Mashine ya ku print A0 zote kutoka uingereza Kwa mawasiliani zaidi...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Kichwa cha habari chajiekeza Nahitaji simu smartphone budget ni elfu 70 mpaka 80 iwe ktk halo nzuri tafadhari
0 Reactions
5 Replies
964 Views
_*```KWA MAHITAJI YA VIFARANGA BORA WA KUROILER*```_ habari ndugu mfugaji tunapenda kukufahamisha kwamba unaweza pata vifaranga bora aina ya kuroiler . Walio na afya njema wakiwa wamepata...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyojielezea,nauza photocipier mashine(cannon IR 2018)binding mashine,paper cutter,printer(hp)ya rangi,printer ya passport(cannon)kabati la kioo Pia ipo meza kubwa inayoweza...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Nauza betri mpya ya detectors za kutafutia madini/dhahabu kampuni ya mineralb Gpx 4500, 5000 bei 1.3 milion! Nitwangie kwa 0784606322
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napatikana arusha mjini nauza mahindi kwa bei ya shilingi 50000 tu kwa gunia na nina gunia 60
0 Reactions
1 Replies
660 Views
Habari wakuu Nauza laptop yenye sifa hizi Aina: Hp elitebook 8540w Operating system: window 8.1 Pro 64-bit Processor: intel core i5 nvidia, 2.4GHz System model: HP Elitebook 8540w RAM:4GB DISPLAY...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu nahitaji smartphone yeyote nzima isiwe imechakaa sana chapchap nipo dar es salaam. piga 0710304035. Tufanye biashara.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Mawasiliano...0625499022
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ninataka ninunue smartphone. nina laki mbili, naomba kujua naweza kupata simu ya aina gani kwa ela hiyo ambayo ni nzuri.
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Arisefarms tz ni wauzaji wa miche bora ya miti ya mbao (mitiki). Kwa gharama nafuu. Mitiki ni mti wa mbao ngumu ambao huvunwa baada ya miaka 15 -20 baada ya kupanda. Gharama zetu zipo ifyatavyo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kama unayo njoo pm au ntext 0769509430
0 Reactions
1 Replies
564 Views
Husika na kichwa cha habari hii hapo juu napangisha nyumba ya vyumba viwili chumba na sebule mahali vilipo ni kimara baruti kwa mguu adi kuifikia nyumba ni dk 15 ila kuna bajaji zinafika adi...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Wakuu kwa yeyote mwenye juice dispenser iwe used au mpya naomba tuwasiliane njoo pm
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Spark plus Tsh 255000
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu kwa yeyote ambae ana smart ambayo bado IPO kwenye hali nzuri. Napenda iwe bado mpya,kuna MTU nimemuahidi kumnunulia simu mpya lakini bajeti yangu imeishia hapo. Bajeti:100,000/= Nipo Dar
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom