Assalam Alekium nina hitaji mashine ya ushonaji kwa maana ya cherehani, kwa yeyote mwenye assets hizo ani PM pamoja na maker na bei yake. Mwenye bei ndogo ndo nitamfuata. AHSANTE