vp mbona kama ina expansion joints au ni kawaidaTecno C8 0,inaufa kwenye Kioo tofauti na Kioo haina tatizo Lingine Kwa hatakae ihitaji tuwasiliane Kwa no hizi 0653325022
AsanteEndelea kutumia
wapi unapatikanaTecno C8 0,inaufa kwenye Kioo tofauti na Kioo haina tatizo Lingine Kwa hatakae ihitaji tuwasiliane Kwa no hizi 0653325022
Mbona ni ya mda mrefu alafu unauza mapesa mengi... Punguza mkuu but nijulishe upo pande zpAtakayehitaji na Mimi nauza yangu
Techno c8 haina tatizo lolote na ina miezi 10.
Price 190
No expansion joints.
Tabata!Mbona ni ya mda mrefu alafu unauza mapesa mengi... Punguza mkuu but nijulishe upo pande zp
Daah.. Ndo tatizo la JF... Wauza bidhaa/vitu wote wako jiji la Bashite... Si wamikoani inakuwa shida tukihitajiTabata!
Bado iko vizuri mkuu
Shops ni tsh 260,000/=
Kwa hiyo bei ilikubidi uchukue na namba za simu za Fundi wake ambaye huwa anaitengeneza.juzi nililetewa hiyo tecno kwa tsh 60,000......
Nipo mbezi ya kimara boss wanguwapi unapatikana