NAUZA: Water-Pump na pipes zake, kwa bei chee! (used)

NAUZA: Water-Pump na pipes zake, kwa bei chee! (used)

kayanda01

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,411
Reaction score
1,282
Salaamu kwenu wana-JF wote.

Kama tittle ya uzi inavyojieleza, nauza vitu hivyo kwa bei cheeee kabisa! Bei ya 'mzigo utoke fasta'. Ni mali yangu halali.

..................................................................................................

UPDATE:

TAYARI BIASHARA ISHAFANYIKA VIZURI SANA. MALI ZOTE ZIMENUNULIWA NA KUONDOKA. J'tatu tarehe 11-12-2017, saa 7 mchana.

Ahsanteni wanaJF wote mlioshiriki uzi huu. Shukrani sana for your usual kind cooperation.

.............................................
.............................................

.............................................

RISITI ipo. Mashine haina hitilafu (technical defect) yoyote tangu kununuliwa. Mashine imetumika kwa muda wa miezi mitano tu, kwa umwagiliaji mwepesi wa mara mbili kwa week. Vitu bado vipo katika hali nzuri sana, mnunuzi hautajuta hata kidogo. Service kwa wakati, na utunzaji.

Nauza vyote (A,B,C) kwa pamoja. BEI ni Tsh 370,000 (Laki tatu na elfu sabini) vitu vyote vitatu. Mazungumzo yapo for discount.

LOCATION: Vifaa vipo Dar, kata ya Toangoma, mtaa wa Vikunai.

Jinsi ya kufika:

===> Kama unapitia Mbagala, shuka kituo Zakiem. Kisha panda daladala za kwenda Vikunai.

===> Kama unapitia Kigamboni, panda gari mpaka Mikwambe. Kisha panda bajaji (nauli Tsh
500) mpaka majengo ya NSSF na NHC. Kisha panda bodaboda (Tsh 1,000) kwenda mtaa
wa Vikunai.

Kwa mawasiliano, karibu PM. Serious buyers only.

Sababu ya kuuza: Shida binafsi... maisha tu. Diversity in struggles.

Mimi ni mtu mwaminifu. Mwaka huu mwanzoni pia niliuza vitu vyangu vingine kupitia hapa hapa JF: INAUZWA - Kitanda, godoro, Sofa, Pasi, Feni, king'amuzi DStv

Karibuni. Natanguliza shukrani.

..................................................................................................
..................................................................................................

UPDATE:

TAYARI BIASHARA ISHAFANYIKA VIZURI SANA. MALI ZOTE ZIMENUNULIWA NA KUONDOKA.
J'tatu tarehe 11-12-2017, saa 7 mchana.

Ahsanteni wanaJF wote mlioshiriki uzi huu. Shukrani sana for your usual kind cooperation. cheers

..............................................
..............................................
 
Salaamu kwenu wana-JF wote.

Kama tittle ya uzi inavyojieleza, nauza vitu hivyo kwa bei cheeee kabisa! Bei ya 'mzigo utoke fasta'. Ni mali yangu halali.

A) Mashine ya kumwagilia. Wazungu wanaiiita 'Water Pump'. Ni honda ya mchina. Ni inchi 3, yenye uwezo wa kusukuma maji mpaka mita 200 horizontally, with high pressure.

View attachment 647820
View attachment 647822View attachment 647823
View attachment 647829View attachment 647833

B) Pipe ya kuvuta/kuleta maji. Ina mita 6...

View attachment 647864

C) Pipe ya kutoa/kupeleka maji (delivery pipe). Mpya kabisa bado haijatumika, mita 80. Kipande kingine cha mita 20 ambacho nilikata na ndicho kilikuwa kinatumika...

MITA 80. Bado mpya. Haijatumika :
View attachment 647881

MITA 20. Imetumika :
View attachment 647891
...................................................

PICHA ya vitu vyote kwa pamoja :
View attachment 647912
..................................................

PICHA nyongeza :
View attachment 647943
...................................................

RISITI ipo. Mashine haina hitilafu (technical defect) yeyote tangu kununuliwa. Mashine imetumika kwa muda wa miezi mitano tu, kwa umwagiliaji mwepesi wa mara mbili kwa week. Vitu bado vipo katika hali nzuri sana, mnunuzi hautajuta hata kidogo. Service kwa wakati, na utunzaji.

Nauza vyote (A,B,C) kwa pamoja. BEI ni Tsh 370,000 (Laki tatu na elfu sabini) vitu vyote vitatu. Mazungumzo yapo for discount.

LOCATION: Vifaa vipo Dar, kata ya Toangoma, mtaa wa Vikunai.

Jinsi ya kufika:

===> Kama unapitia Mbagala, shuka kituo Zakiem. Kisha panda daladala za kwenda Vikunai.

===> Kama unapitia Kigamboni, panda gari mpaka Mikwambe. Kisha panda Noah (nauli Tsh
500) mpaka majengo ya NSSF na NHC. Kisha panda bodaboda (Tsh 1,000) kwenda mtaa
wa Vikunai.

Kwa mawasiliano, karibu PM. Serious buyers only.

Sababu ya kuuza: Shida binafsi... maisha tu. Diversity in struggles.

Mimi ni mtu mwaminifu. Mwaka huu mwanzoni pia niliuza vitu vyangu vingine kupitia hapa hapa JF: INAUZWA - Kitanda, godoro, Sofa, Pasi, Feni, king'amuzi DStv

Karibuni. Natanguliza shukrani.
300 veeeepe
 
Afwadhali ww wajua kujieleza. Tangazo limekamilika vyema kabisa, icpokuwa namb ya cmu tu. Ila poa. Kesho mchana nitakutafuta inshaallah. Punguzo ni sh ngap?

Ahsante mkuu. Kama ni mhitaji serious, karibu PM tuzungumze ndugu.
 
aisee juzi tu tumenunua 530 plus usafiri 20 . ungewai tu ningechukua

yep, hizo ndo bei zake hivi vitu ukichukua mpya dukani. Vina gharama si haba.

Basi sawa mkuu. Hii haikuwa riziki kwako, hiyo haikuwa riziki kwangu. Mungu akutangulie kwenye kilimo cha umwagiliaji.
 
Nataraji kupata pesa very soon, InshaAllah endapo itakuwa haijachukuliwa ntakustua Mkuu. Hivi nikihitaji ipelekwe Mwanza, usafiri upi itawezekana na kwa gharama ipi.?
 
Best wishes Mkuu, hakika wateja tupo(wapo) kilimo ni Dili kwa sasa na ukiwa na mashine kama hii kila siku utakuwa wala faida tuu, tuachane na kuomba mvua kama tangazo la "Malaria haikubaliki"
 
Safi sana mkuu nimejikuta natiririka kusoma bandiko lako huku nikitabasamu Kwa huo uandishi mahiri hongera sana .kila la kheri mkuu..

Ahsante sana mkuu Eck fulani , comment yako imenifanya nitabasamu sana pia. I am very humbled. Shukrani kwa dua zako. Nikiuza nitakurushia japo buku tano unywe maji mkuu wangu.
 
Back
Top Bottom