Kombaini mashine ya kuvunia mpunga ni shilingi ngapi na inapatikana wapi ?

Kombaini mashine ya kuvunia mpunga ni shilingi ngapi na inapatikana wapi ?

zizo12

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2017
Posts
278
Reaction score
136
Dau nauliza hivi kombaini mashine ya kuvunia mbunga shi ngapi na inapatikana wapi tafadhali msaada
 
Kwa bei sijajua. Ila kama upo dar. Nenda kurasini -mtaa wa mivinjeni waone "Agricom" wanauza hizo machines aina zote.
 
Kwa bei sijajua. Ila kama upo dar. Nenda kurasini -mtaa wa mivinjeni waone "Agricom" wanauza hizo machines aina zote.
Nashukuru kwa msaada nimefanikiwa
 
Nenda pale farm equip wapo nyerere road zamani pugu road karibu na jengo la quality group bei kwenye mil 70 sijui kwa sasa!!
 
Back
Top Bottom