Garlic peeler machine ,,msaada wa kuipata

Nima Imma

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2015
Posts
2,473
Reaction score
3,697
Habarini wadau,
Nahitaji mashine ya kumenya vitunguu saumu naomba mwenye kujua sehemu nitakapo ipata anijulishe tafadhali.

Asante
 
Kwa kuanzia waone SIDO.
Kama upo dar wanapatikana maeneo ya upanga.

Pia waone AGRI COM. Ofis zao zipo Dar maeneo ya kurasini. Ukitokea posta kwenda mbgala shuka kituo kinaitwa mivinjeni. Vuka upande wa pili wa barabara .uwe kama unarudi nyuma utaona bango . Wana machines mbalimbali
 
c2dd9ae35f5c3c31e2f00bf47e536e95.jpg
ingia ebay.com unapata
 
Kwa kuanzia waone SIDO.
Kama upo dar wanapatikana maeneo ya upanga.

Pia waone AGRI COM. Ofis zao zipo Dar maeneo ya kurasini. Ukitokea posta kwenda mbgala shuka kituo kinaitwa mivinjeni. Vuka upande wa pili wa barabara .uwe kama unarudi nyuma utaona bango . Wana machines mbalimbali
Asante sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom