Kwa wiki hizi zilizobaki mpaka kuingia 2018. (One2one Consultant ltd) www.one2oneconsultant.com inatoa offer ya kutengeza websites. Kuna punguzo la 40% kwa kila website. Bei hutegema na complexity...
Hali zenu wadau naomba kuuliza wapi nitapata korosho zilizibanguliwa kwa wingi, nahitaji kununua kwa wingi, kama kuna mhusika au anafahamu wapi zinapatikana naomba anijulishe
Ndugu/wateja wetu wapendwa
Kampuni yetu,inayo furaha kubwa kuwataarifu wateja wake kwamba kwa bidha'a mpya na zenye ubora bidha'a mbali mbali kama ifutavyo
1)Oils za magari,piki piki,hydraulic...
Kwa wale wanaohitaji riwaya za marehemu Ben R. Mtobwa, sasa vitabu vinapatikana.
Mpaka sasa kuna vitabu aina12. Aina 8 ni mtiririko au mfululizo wa visa vya Joram Kiango na aina nne ni riwaya...
Habari wana jukwaa leo nimeona niongelee hili baada ya kuona wengi hatulizingatii
Ukiwa unamiliki kiyoyozi ili kidumu ni vzr ukatumia njia hizi
1) kila baada ya wiki tatu zitoe filter za indoor...
Zte Maven 2z831 ina kioo kikubwa inchi 5" na ina internet ya kasi ya 4g na ina ram 1gb na 8gb rom inaingiza sd card bei 120000 na inapungua.. Simu bado mpyaaaa nicheki 0757227796. Ipo KILIMANJARO
Wadau nipen msaada kuhusu hiv vibao vyeus vinavyowakawaka madukani kwa maandishi ya "karibu" MPESA/TIGOPESA etc" , "Open", na vingine vina michoro kama mkasi hasa kwenye salons,
Vibao hiv huwa...
Wakuu poleni na pilika pilika za majukumu ya kujenga taifa.
Kijana wenu bado vyuma vimekaza, na januari ndio hiyo. Ada zinazidi kugomba. Nimeona nipunguze bei kidogo ili niweze kujikwamua. Bei...
Habari zenu wana JF
Karibu ujipatie asali ya nyuki wadogo na wakubwa,asali mbichi,kuanzia 1/4 kg-1kg kwa bei nafuu.....place your order now....call 0789384100
free delivery..
1 Litre ya nyuki...
Taraji Oil - Pure Organic Cold Press Coconut Oil. Useful for cooking and External Use.
Ni mafuta halisi ya Nazi Zilizokoma Yanafaa Kwa Kupikia na Kupakaa
Contact call/sms/whatsapp +255714206306
Wana forum nahitaji nyumba ya vyumba viwili na sitting room au chumba kimoja na sitting room, maeneo ya ubungo, kimara, sinza, mwenge, kawe, mikocheni, kijitonyama na tabata. Bajeti yangu si zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.