Kama unaenda Mbeya Jumatano tar.13 Dec nicheki kuna usafiri Private

Nauli 40,000 tshs, kama huniamini you reserve ur options
sio kuwa sikuamini ila kama unasafirisha mtu inabidi utoe maelezo ya kutosha maana kuendesha gari kuna vigezo niliwahi kusafiri na IT kwenda Mbeya dereva alikuwa anakunywa viroba njiani. Kwenye mabasi wana vigezo vya kupata madereva ndio maana tunawaamini. Pia huna leseni ya usafirishaji watu so ukihakikisha usalama na vigezo ingependeza zaidi
 
Ni mzoefu na ni fundi wa magari huu mwaka wa 12...Tembelea nyuzi zangu za nyuma utaona ushauri na ukitaka kunitembelea karibu gereji kwangu hapa mwenge...kila kitu nafanya nuruni....
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom