Contact me now for effective design and desirable plus complicated plans.
Tunafika site kwako tunachukua vipimo..halafu tunafanya kazi
Karibu sana
0654919121
0758919121
0622060797
0683928358...
Nina mahindi yapo Safi Hata dalili ya kubunguliwa Bado yapo sumbawanga. Kwa mnunuzi anaye hitaji naomba tuwasiliane namba kwa namba hizi 0753422844., 0718930097
Habari zenu wakuu
Nina Kiwanja nakiuza kiko bukoba mjini barabarani kabisa .Pia Kuna na Frame saba ziko nawapangaji,na nyumba ya kuishi ya vyumba vinne kila chumba ni self.
Frame za duka kila...
Habari wakuu....
Kama 'heading' inavyojieleza. Nahitaji laini za M-pesa, Tigo Pesa, Airtel Money na Halopesa. Kama unazo ni-pm tufanye biashara au WhatsApp 0784132525
Ni mchele uliothibitishwa na wataalamu wa lishe na madaktari ulimwenguni mweote kuwa unawafaa watu wenye kisukari.
Sasa unapatikana nchini Tanzania.
Kwa aliye na nia nao na ana hitaji .
Ani PM...
Heshima kwenu wote,
Dereva mzoefu na mwaminifu mwenye zaidi ya miaka 25 ya udereva, anatafuta gari ya kuendesha na kupata ridhiki,ana uzoefu wa kuendesha gari aina zote kuanzia malori makubwa...
Wadau wa kilimo,nina shamba langu ekari 5 linapatikana maeneo ya kingolwira,umbali wa kama km 20 kutoka main road,(Dar - Moro).
Pnafikika vizuri kabisa kwa usafiri wowote,ninauza kwa sababu nina...
Wakuu habari nimeamua kufunga ofisi yangu kutokana na biashara kuwa ndivyo sivyo, nina meza kubwa,printer,cabinet na meza ya reception na kiti cha reception,pamoja na viti vya wageni vinne,
bei ni...
Wadau,
Nina muhogo eka mbili upo tayari kwa ajili ya mavuno na kuuzwa kwa anaetaka ni muhogo kutokea njia ya digo Tanga na ni mtamu haswa.
Kwa anaetaka tuwasiliane PM au kama kuna mtu anajua...
Bitclub ni campany inayohusika na trading ambayo inafanya kazi ya kununua na kuuza coin
(inanunua coin za kidigital kwa bei ya chini na ikipanda kuuza kwa bei ya juu)
DOLLAR KILA SIKU ZINAINGIA...
S6 edge 32gb original bado kwenye box.
Full n.a. accessories zote.
Fast charger iko ndani.
Warranty 1year.
Kwa mahitaji ya simu za uhakika na kwa uaminifu tuna deliver.
Call:071730913/0625518320...
Hodi wadau wa JF.
Naomba kuulizia nawezaje kumpata mpiga picha (still pictures) na video za shughuli za harusii mjini Dodoma.
Kwani natarajia kuwa na shughuli ya harus mjini Dodoma.
Vile vilee...
http://kilizonetz.com is the Tanzania fastest growing free online and mobile web based classifieds platform that offer a flexible and efficient market place for buyers and sellers to meet.We offer...
Wakuu habari za humu ndani nahitaji kununua gari Hurrier model ya zamani. kidogo ikiwa na matunzo bora.
1.Iwe na utumiaji mzuri wa mafuta.
2. Isiwe imewahi funguliwa injini.
3. Iwe na rangi...
Want to do business online?Register your business and start selling your products or services on Bigmarket.co.tz. Show case your work ,link your project portfolio increase trust and sell more...
Kichwa cha habari kinahusika.
kiwe kimepimwa na hati mkononi, tambale na ukubwa usiopungua sqm 1200. bei inaanza 15m. kisiwe mbali sana na barabara. njoo pm chapu tumalize biashara ukalipe ada za...
Kitanda 5*6 Kinauzwa
Bei yake ni 150,000 fixed.
Kinapatikana Survey karibu Na Chuo cha Ardhi.
Anyone interested contact 0788698640
Updates:Deal done.Bidhaa imeshauzwa.Asanteni wote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.