Dereva anatafuta kazi (Mahenge,Ifakara)

Dereva anatafuta kazi (Mahenge,Ifakara)

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,523
Reaction score
14,002
Heshima kwenu wote,

Dereva mzoefu na mwaminifu mwenye zaidi ya miaka 25 ya udereva, anatafuta gari ya kuendesha na kupata ridhiki,ana uzoefu wa kuendesha gari aina zote kuanzia malori makubwa hadi gari ndogo.
Anatafuta mtu mwenye gari maeneo ya Mahenge,Ifakara au Malinyi ili iwe rahisi kwake kuangalia na familia yake ambayo IPO Mahenge mjini.
Unaweza mpa gari kwa utaratibu utakaoona unafaa halafu yeye akalitumia kufanyia kazi na kukuletea pesa yako.

Mawasiliano yake 0653 976 824
Asanteni wote.
 
Kazi ya dereva ni kuendesha gari... anatafuta kazi, ajira au gari la kuendesha?!.
 
Anatafuta ajira kama ipo,pia kama kuna mtu ana gari na hana dereva yupo tayari kuchukua na kufanyia kazi na kuleta hesabu ya boss!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom