Wakuu habari za muda huu:
Nimerudi tena... Vifuatavyo vipo tayari kwa anayehitaji. Vitu hivi nilikuwa navitumia mwenyewe ila kwa sasa sina matumizi navyo. Navitoa kwa bei iliyo fair kabisa...
Habari wakuu!
Kama Kichwa Cha Habari kinavyoeleza Hapo juu,Kama wewe ni Mmiliki na Mfanyabiashra wa Guest house au Lodge!,na Unapenda Kuongeza wateja na kukuza biashara yako Mwaka huu...
Nauza shade kwa ajili car parking. Lina mita 4 kwa 6 linatosha kwa gari moja. Linafaa kwaa ajili ya kuzuia jua. nilinunua kubwa likabak. Nauza lote lak 3. Nicheck 0713401812
Miche ya migomba aina ya Kisukari, Bukoba, Mzuzu, Mkono wa Tembo, nk., inapatikana Goba, karibu na Shule ya Sekondari ya St. Joseph Millenieum.
Kwa maulizo piga namba ifuatayo: +255 754 367650...
Kwa anayehitaji mbolea ya kinyesi cha kuku kutoka banda la kuku anicheki... Ipo mifuko takribani kumi ya kilo hamsini hamsini... Bei ni elfu tatu (3,000/=) kwa kiroba/mfuko. Niko maeneo ya...
Salaam Wakuu,
Mimi ni mkulima wa matunda ya strawberry kutoka Morogoro..
Nauza kuanzia containers 15@4000...kwa bei ya jumla .na 5000kwa bei ya rejareja!ukitoa oda ndo naenda shambani..
Matunda...
Wanajamvi salamu!
Mimi ni mfugaji mdogo, nipo Morogoro.
Naanza kwa kumtambulisha Sasso kwa ufupi; Sasso ni kuku chotara wa nyama asili yake ufaransa, na hutokana na jamii ya broiler. Ni kuku...
*NIKISEMA OFFER NINAMAANISHA OFFER!!*
1. *Pata blog kali kwa Tsh 15,000 tuu! Mf wa blog www.slaustec.com, www.unizoneafrica.com*
2. *Pata App ya blog kwa Tsh 10,000 tuu. Kuona mfano wa app...
Poleni na majukumu,
Ndugu zanguni wana JamiiForums naombeni kujua bei ya alizeti huko mikoani mwenu maana nimeweka alizeti stoo naona mbona inachelewa kupanda.
Hello guys...
Naombeni msaada kwa mtu anayefanya biashara kati ya Zambia na Tanzania au kati Rwanda and Tanzania.. Nahitaji kuanza biashara january kati ya nchi hizo mbili ..
Shida yangu ni...
Nmepokea mzigo kutoka UK nauza..
Tv aina ya SEIKI inch 55.. Bei ni 1200,000
SONY home theater complete 320,000
Soundbar aina ya BUSH Original 200,000 hii ni spika moja ndogo ya kulala na...
Kwa anayehitaji mbolea ya kinyesi cha kuku kutoka banda la kuku anicheki... Ipo mifuko takribani kumi plus ya kilo hamsini hamsini...Bei ni elfu tatu (3,000/=) kwa kiroba/mfuko. Niko maeneo ya...
IT IS PINK HIJAB DAYS FOR ALL STARA WOMEN.
Kwa maelezo zaidi follow instagram page yetu (pink_hijabtz),weka picha yako ukiwa umevaa hijab ya pink kwenye akaunti yako ya instagram kisha tag...
samsung galaxy S4 mpya inauzwa 300,000/=
baadhi ya specification:
RAM 2GB
Internal 16gb
rangi nyeupe
full box with all accesories
nipo dar mabibo
kwa anayehitaji ni pm au nicheck 0713280314
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.