Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,416
Wadau,
Nina muhogo eka mbili upo tayari kwa ajili ya mavuno na kuuzwa kwa anaetaka ni muhogo kutokea njia ya digo Tanga na ni mtamu haswa.
Kwa anaetaka tuwasiliane PM au kama kuna mtu anajua soko tuelezane