Sheets To_Go wamekuletea mzigo mpya mashuka mazuri pure cotton(pamba 100%)
8*8 @80000(shuka 2 na foronya 4)
Jumla kuanzia pea 10
8*8 @65000
Gharama ya usafiri juu ya mteja,na waliopo mikoani...
Kamera inauzwa, inauwezo wa HD, Megapix 6.3. Inarekodi video mwanana kabisa, inachukua picha za uhakika na kuaminika. Jipatie sasa ili ufurahie msimu huu wa sikukuu kwa kuchukua matukio mbalimbali...
Aina: Samsung mini
Hdd:300Gb
Ram:2Gb
Proc:intel(R)
Ina tatizo moja tu la keyboard haifanyi kazi ilimwagiwa maji so mpaka kutengeneza but vitu vingine vyoote viko sawa
BEI/PRICE...200,000/= tu...
Habari zenu wakuu, ningependa kuwashirikisha huduma ninazotoa ni pamoja na ;
Tshirts
Uniforms
Calendars
Business Cards
Flyers
Brochures
wheelcovers
Delivery note
Invoice book
receipt book...
Specialist in building construction have more experience in civil work, get look some of there projects . For your better home you may contact 0763269695.
Star X 22 nchi
Ina sehemu ya usb port, hdmi, earphone port
Inatumia umeme wa ac na dc hivyo ukiwa na betri ya gari unawasha bila shida au solar.
King'amuzi ni kipya kabisa bt kilipigwa short ya...
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wanajamii forum .
Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kutufikisha mwishoni mwa mwaka 2017.
Kama ilivyo kawaida ya wajasiriamali ni lazima ufanye tathimini juu ya...
Kiwanja kina ukubwa wa Meter² 748(22*34)
Kipo umbali wa 1.7 Kilometres kutokea barabara ya Bagamoyo ( Ali Hassan road) unakata kuelekea EFATHA SEMINARY na shule ya KIPINGU.
Umeme na maji ya...
Habari yako ndugu, dhumuni LA kuandika ujumbe huuu baada ya kuona watu wengi wakiteseka na taaa ya check engine kwenye magari yao sasa mimi nikiwa kama Fundi nikaona niwahabarishe ndugu zanguni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.