Brown rice,mchele maalumu kwa watu wenye kisukari.

Tanzanite klm

JF-Expert Member
May 7, 2013
453
376
Ni mchele uliothibitishwa na wataalamu wa lishe na madaktari ulimwenguni mweote kuwa unawafaa watu wenye kisukari.
Sasa unapatikana nchini Tanzania.
Kwa aliye na nia nao na ana hitaji .
Ani PM
thanks
 
Unauza kwa jumla au rejareja na bei kwa kilo ni TZS ngapi ? mambo ya ku PM wakati unafanya biashara ya wazi ya nini tena?
 
Sawa mkuu haina shida.
Kilo kwa bei jumla ni shilingi 2000 hela za kitanzania.
 
Pia jaribu kutafuta soko kweenye Supermarket kwa hiyo bei watachukua maadamu pia uwe na packing ya kisasa
 
ninashida na mchele wa brown. naomba namba zako za simu nikutafte. au nichek 0653606342
 
Hiyo jumla ni kuanzia kilo ngapi? Unatuma kwa wateja walk nje ya AR?
 
Back
Top Bottom