Mpiga picha na video za harusi -Dodoma

Mpiga picha na video za harusi -Dodoma

likes

Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
90
Reaction score
58
Hodi wadau wa JF.
Naomba kuulizia nawezaje kumpata mpiga picha (still pictures) na video za shughuli za harusii mjini Dodoma.
Kwani natarajia kuwa na shughuli ya harus mjini Dodoma.

Vile vilee wapi naweza mpata kampuni au mtu wa mapambo ya sherehe za harui hapo hapo Dom
Naomba kuwasilisha kwa msaada.
 
Wewe ni Me au Ke? Hilo kwanza halafu twendelee.
 
0656 484 580 dau picha dodoma...

huyo atakusaidia anapiga vizuri... mchek instagram dau picha uone kazi zake

Back
Top Bottom