DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,319
- 83,198
Habari zenu wakuu
Nina Kiwanja nakiuza kiko bukoba mjini barabarani kabisa .Pia Kuna na Frame saba ziko nawapangaji,na nyumba ya kuishi ya vyumba vinne kila chumba ni self.
Frame za duka kila moja mpangaji analipa elf 70 kwa mwezi na nyumba iko kwenye uzio.
Bei Nauza Mil 20 mwisho 19
Nb Ardhi aina mgogoro wowote ni Mali yangu kabisa na Eneo linepimwa na hati ya Eneo,nyumba ipo Mimi nimenunua mwaka 93..
Sababu za kuuza ninahitaj Kuhamia nje ya mji nilikowekeza kwenye kilimo cha chai panaitwa Maruku.
Naomba Kwa anayehitaj aniPM