Natafuta Kiwanja Salasala

Natafuta Kiwanja Salasala

Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2011
Posts
4,501
Reaction score
6,900
Kichwa cha habari kinahusika.

kiwe kimepimwa na hati mkononi, tambale na ukubwa usiopungua sqm 1200. bei inaanza 15m. kisiwe mbali sana na barabara. njoo pm chapu tumalize biashara ukalipe ada za watoto...vyuma takwimu.


Thanks
 
Kwa uzoefu wangu, huwezi kupata Kiwanja cha aina hiyo kwa hiyo bei, labda kama hakijapimwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom